mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
That is what is needed in Rwanda
But if they are going to work, they must have strong people
That is what is needed in Rwanda
ungemalizia..
"But if they are going to work, they must have strong people."
Nimejibu labda hujasoma inatakiwa wawepo STRONG PEOPLE wengi siyo SINGE STRONG PERSON Kama ilivyo Rwanda. Running a govenment is not a one man show as it is in Rwanda.
Raisi wetu ana clear vision ya kuifanya Rwanda kuwa middle-income country by 2020.
Rais akiwa wa hovyo hata wananchi na nchi huonekana ya hovyo tu.Hiyo vision ni ya Raisi au ni ya nchi? Kama ni ya mtu mmoja haitafikiwa.Sababu vision hutakiwa iwe ya nchi na kila mtu katika nchi.Kila shirika la umma,wizara,taasisi za nchi etc zote ziwe na hiyo vision na zifanye kazi kuelekea ghiyo vision Lakini ikiwa hiyo vision ni one man vision hamna kitu hapo is just a one man show vision.