Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Hawa jamaa wameshaona udhaifu wa mahakama ya Afrika Mashariki sasa wanatafuta upenyo wa kujinasua na kitanzi cha ICC.
Nikuulize bwana Ab-Titchaz unadhani ni ukabila tu ndo umemsukumu AG kutaka Uhuru na Muthaura kesi zao zihamishiwe Arusha? Hakuna sababu ntingine?
Labda unisaidie kufahamu na rafiki zangu Royals, Kabaridi na livefire nitaomba maoni yenu kama hii move haitaathiri ushirikiano kati ya Uhuru na Rutto katika Presidential bid yao.
the others r not sons of Mumbi....hence no need for special treatmentI'm left wondering why only Uhuru and Muthaura's cases yet kuna Ruto na Sang pia?
...ama kwa vile si kabila moja na wao?
Where is Geza Ulole when you need him?
Hawa jamaa wameshaona udhaifu wa mahakama ya Afrika Mashariki sasa wanatafuta upenyo wa kujinasua na kitanzi cha ICC.
Nikuulize bwana Ab-Titchaz unadhani ni ukabila tu ndo umemsukumu AG kutaka Uhuru na Muthaura kesi zao zihamishiwe Arusha? Hakuna sababu ntingine?
Labda unisaidie kufahamu na rafiki zangu Royals, Kabaridi na livefire nitaomba maoni yenu kama hii move haitaathiri ushirikiano kati ya Uhuru na Rutto katika Presidential bid yao.
I'm left wondering why only Uhuru and Muthaura's cases yet kuna Ruto na Sang pia?
...ama kwa vile si kabila moja na wao?
Where is Geza Ulole when you need him?
Title = AG says no to Uhuru, Ruto asset freeze
KENYA: Kenya has declined to freeze the assets of four Kenyans facing crimes against humanity at The Hague.
And in a letter to the International Criminal Court dated yesterday, Attorney General Githu Muigai made a final push to have the cases heard in Kenya or in the Tanzanian city of Arusha.
In a second letter to ICC prosecutor Fatou Bensouda, Prof Muigai said the identification and freezing of assets of the suspects could only be carried out in the event of a conviction.
Enforce request
He said the Government could not enforce a request such as the one made by Bensouda without a court order.
As Muigai was addressing the letters in Nairobi, two of the ICC suspects – Uhuru Kenyatta and William Ruto – were dismissing comments made by Bensouda as calculated to erode their support in their bid to become President and Deputy President in the March 4 elections.
Hawa jamaa wameshaona udhaifu wa mahakama ya Afrika Mashariki sasa wanatafuta upenyo wa kujinasua na kitanzi cha ICC.
Nikuulize bwana Ab-Titchaz unadhani ni ukabila tu ndo umemsukumu AG kutaka Uhuru na Muthaura kesi zao zihamishiwe Arusha? Hakuna sababu ntingine?
Labda unisaidie kufahamu na rafiki zangu Royals, Kabaridi na livefire nitaomba maoni yenu kama hii move haitaathiri ushirikiano kati ya Uhuru na Rutto katika Presidential bid yao.
usichanganye mambo kesi ya Lema haihusiani na EA Court au ICC court in Arusha! Kama UK na Ruto watashitakiwa Arusha hawatashitakiwa kwa mujibu wa URT laws ila International laws!Mkuu Mwita Maranya,
Kama waikumbuka Arusha na zile kesi za wanyarwanda zilivoenda hadi Kagame akazilalamikia na kuomba zihamie Kigali ili wakazihukumu wenyewe. Hii ni kutokana na kuonekana kama hukumu za Arusha hazikwenda kihalali. Wao wakaanzisha za kwao kule Rwanda wakaziita Gachacha.
Arusha pia iko ile kesi ya mbunge Lema ambayo ilimvua ubunge kiasi ambacho hata waioijua sheria walikujua kuwa hukumu ile ina mkono wa mtu. Ili kuja kubainika kuwa kweli ilikosewa, Lema akarudishiwa ubunge wake.
Na hawa akina Uhuru nao huona na kuamini kuwa kama kesi ile ikija Arusha nao wanaweza kupitisha ujanja ujanja na hatimae wskapata matarajio yao wao.
Lakini kwa hili watakuwa wanakosea maana inavyoonekana huku mwenzao hasimu wao mkubwa kisiasa keshatangulia. Fikiri kuhudhiria kwa bwana Magufuli kwenye ufunguzi wa muungano wa CORD kule Nairobi na fikiri ujio wa kificho wa Raila nchini TZ mwisho wa mwaka.
Kwa hiyo nimalize kwa kusema kuwa suala la kuhamishia kesi yao Arusha ni sawa mtu aliyeshikwa na tumbo la kuhara akiwa safarini kuwa huwa hachagui choo.
Kwa haitaathiri urafiki wao na Ruto iko wazi kuwa tangu hapo mwanzo hawakuwa marafiki. Urafiki wao umelazimishwa na kesi yao. Na hii ya kuunganika katika siasa walifikiri kuwa kungewasaidia kwakidhani kuwa huenda watu wanso waunga mkono wao wakidhsni ni wakenya wote kwa jumla yao kuwa huenda siku moja wange tokea mabarabarani kwa maandamano huku wakiimba tunataka haki yetu yaani kufutiwa kesi na mabango yenye maandishi ya kuitaka ICC iwafutie kesi.
Salaam kwa AB Tichaz, livefire, Kabaridi, JFM na Mfianchi.