yaani ulivyo na akili ndogo hujajua kwamba Kenya haipo kabisa kwenye kundi la nchi zinazofanya vizuri kwenye uchumi jumuishi, Tanzania inaongoza so far
Na nani aliekuambia kuhitimu degree ndio kuwa na tickets ya kuingia kwenye inclusive economy? Wansohitimu VETA wanaingia wapi pamoja na colleges?
Kuna uhusiano gani wa kimantiki kati ya kuhitimu degree na uchumi jumuishi?
View attachment 1549256