Utafiti uliofanywa umeonesha kuwa majirani wetu 254 wapo mbele yetu sana. Naitachukua muda tuwafikie, vitu viliopewa kipaumbele ni uhuru wa kujieleza, viwanda, masomo, dhamana ya pesa na ubora wa vitu.
Sijui kama watanzania wenza mnakubaliana na hilo.