Kenya: Tanzania free Don Bosco

Unknown

Senior Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
164
Reaction score
102
Kwenye mitandao ya Kenya hasa Twitter kuna movement inaendelea yakutaka raisi Magufuli amwachie huru huyo jamaa kutoka kizuizini.Naomba kujua huyu jamaa ni nani na alifanya kosa gani mpaka kuwekwa kizuizini miaka 6 bila ya kupelekwa mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alikuwa mfuasi wa chadema hataachiwa, labda na nyie mumkamate mfuasi wa ccm atakaekuja huko kenya
 
acheni kumuonea rais wetu ndo kwanza ana miaka 3 hiyo 6 anahusikaje??????
 
Wakenya wapo obsessed na Tanzania,hawaishiwi na vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…