Uraita! Pamoja sanaVery weak
Tena umenikumbusha jinsi wanajeshi wao walivyoiba pombe supermarket wakati ule wa tukio la ugaidi![/QUOTE
Sababu maisha magumu, wakale wapi wanajeshi jamani na hiyo ndo ilikuwa nafasi yao
Tena umenikumbusha jinsi wanajeshi wao walivyoiba pombe supermarket wakati ule wa tukio la ugaidi!
Watanzania wengi bado hawajagundua jinsi ambavyo Tanzania ni nchi nzuri katika Africa yote na duniani. Tumedanganywa kwa ujinga wetu kuwa Tz ni nchi mbaya isiyo na chochote. Huu ni uwongo wa kitaalamu (brainwashing) inayofanywa kijanja sana ili kuwafanya watu waruke majivu na kukanyaga kaa la moto.
Nimezunguka na kuishi sehemu nyingi dunia ikiwa ni pamoja na Ulaya na America, lakini nawaambia Watz maisha hapa kwetu ni marahisi mara 70 kuliko nchi nyingu sana.
Kwa kweli siku hizi hakuna cha ajabu na cha msingi kilichopo Ulaya au Amerika ambacho hakipo Tanzania. Ukitumia akili yako vizuri utaishi maisha mazuri kuliko ya wazungu!
Material zote za kujenga nyumba nzuri kama zilizopo ulayA zipo hapa kwetu tena kwa bei ya kutupa ukilinganisha na ulaya. Nimeona magari yote ya kisasa yapo hapa kama yale ya ulaya, makomputa na mengineyo mengi. Najua ndio wengi watasema hela mbona hakuna. Hata ulaya mimi nimewapa ombaomba wengi tu pesa, maskini wapo kila mahali na Marekani pia utawasikia wakiomba "change please"!
Msidanganyike Watz wenzangu Tz ni nzuri mno! Unaweza kusavaivu hata kama ni maskini na ukamiliki ARDHI ambayo ndio chanzo cha umiliki mwingine wowote. Wenzetu hapo Kenya mnasema wameendelea? Nasema ni kitakwimu tu lakini wengi wao inabidi wafanye kazi mara 4 ya Mtanzania ili waweze kuishi maisha anayoishii mtanzania!
Acheni unyonge watz huu ndio ugonjwa mkubwa wa watz eti kwasabababu hawajasoma sana au hawaongei kimombo! Kiingereza ni kitu gani? Tusonge mbele kwa kujiamini nawaambia muda si muda Tz itakuwa kinara mbele ya mataifa mengi ya Africa. Na maendeleo hayo tofauti na nchi nyingi yatakuwa maendeleo ya wengi. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
hahahaaa huo ndio ukweli japo mchungu.Bongo elimu yetu na Lugha Pendwa vinatufanya tuwe Baridiii mbele ya Wakenya.
Ni waoga kufanya kushindana tatzo sisi wabongoBongo elimu yetu na Lugha Pendwa vinatufanya tuwe Baridiii mbele ya Wakenya.
Je, ukiwa maskini unaweza kupata ardhi Ujerumani kwa mfano?Ndugu zangu kwa yeyote ambaye amewahi kuishi kenya hawezi kupingana nami kuwa nchi hiyo ina maisha magumu kuliko mataifa yote ya East africa,ukubwa wa uchumi wao ni currency,na si maisha ya mtu mmoja mmoja,ardhi huwezi kupata kama wewe ni maskini tofauti na hapa kwetu ambako tunamiliki maelfu ya ardhi and yet we're bankrupted,kenya kuna ukabila wa mauti,nairobi maisha ni magumu kuliko maelezo,kenya huwezi kumuomba mtu hela ya kula tofauti na hapa kwetu ambako unakutana na mtu na humjui anakupa hata buku mbili ya msosi,kenya usalama ni ziro,kila mwezi utasikia alshabab waua police 20 kenya,sisi hapa Tanzania hawatuwezi,miaka ya nyuma wasomali walivuka mpaka wakaingia TZ kufanya ugaidi,wakampiga risasi hadi OCD wa Loliondo,kilichowakuta hadi leo wamekoma,kifupi kenya ni taifa dhaifu linalojaribu kujigamba in vain,ndo maana ktk shirikisho la East africa walitamani sana wapate ardhi ya TZ lakini wakakwama,2007 walipochinjana sisi ndo tukawapatanisha,kenya is a very weak nation.
Bwana fadhir kuna haja ya mi kukutafuta..Watanzania wengi bado hawajagundua jinsi ambavyo Tanzania ni nchi nzuri katika Africa yote na duniani. Tumedanganywa kwa ujinga wetu kuwa Tz ni nchi mbaya isiyo na chochote. Huu ni uwongo wa kitaalamu (brainwashing) inayofanywa kijanja sana ili kuwafanya watu waruke majivu na kukanyaga kaa la moto.