Hii article inachekesha sana.The way ilivyoandikwa utadhani Unep imepandishwa hadhi kutokana na juhudi za Mwai Kibaki! na sssa Kenya itakuwa 'very powerful in the region' kwa sababu ya hii office!
Let me say 'no OIL no power'. Unep will help your Sandwich business, that's it!
UNEP imeiletea Kenya faida nyingi hadi sasa, tembelea eneo la Gigiri Nairobi uone tu sehemu ya faida zake. Nadhani hata zashinda utajiri wa mafuta TZ. Oil is actually a curse for many African countries. Hivi sasa Jamhuri ya Muungano Tanzania huenda ikasambaratika kwa sababu ya OIL. Zanzibar wanasema mafuta yasiwe katika muungano, huu ndio mwanzo wa kuvunjika muungano. Kwa nini Sudan Kusini ilijetenga?
along coastline kubwa ya mainland oil ipo na bado kwa ndani hadi huko kilosa ni mafuta 2 nyie na ma UN yenu hongereni
erfan masahibu ya Tanzania zinaifanya kuwa better off?? What about famine in your northern Kenya, how has the UN helped you. Wakenya wengi bado ni maskni wa kutupwa, mbaya zaidi ni kwamba wengi mna njaa kali.
Kwanza zijasema mimi ni Mkenya. Ni kweli Kenya kuna famine lakini UN imesaidia sana. Tatizo kubwa ni usimamizi mbovu na wakimbizi kutoka Somalia na hilo ni tatizo ambalo dunia inapaswa kulishughulikia. Tanzania Bara au Tanganyika kuna watu wengi sana wana njaa lakini vyombo vya habar 'Bongo' vimelala na vimebakia kumsifu JK na wenzake. Kungekuwa na Dynamic media ufisadi mkubwa TZ ungefichuliwa. Soma makala hii kuhusu Njaa kali TZ. Yamkini waishi Dar lakini takwimu zaonyesha kuwa asilimia 90 ya Watanganyika walio na njaa hawaishi mijini.

erfan heshima mbele!
Mimi nadhani hoja yako ingekuwa.. presence ya UN Agencies means "more opportunities to Kenyans". Ajira kidogo, dola kadhaa zitaingia kwenye mzunguko, biashara ya hapa na pale (sukuma wiki zitanunuliwa zaidi) n.k
Hayo mengine ya kuwa elevated kidiplomasia ni sarakasi za kawaida. Tanzania used to be a preferred reference on international diplomacy back in the days hata bila kuwa makazi ya kudumu ya hizo UN agencies..
Research iliyofanywa na Financial Times ; 15-Jan-2000 ilionyesha kuwa The United Nations in Kenya brings in more foreign exchange than horticulture, tourism, coffee or petroleum products, an analysis of the organisation's operations in East Africa has revealed. In 1998, direct and indirect benefits to the country amounted to more than Dollars 350m (œ210m), second only to tea as source of exchange and equivalent to 3 per cent of the country's gross national product, or 19 per cent of exports. Hizi ni takwimu za miaka 10 iliyopita, ikitolewa ripoti mpya mwaka huu utashangaa zaidi. Kisha takwimu za mwaka huo zilionyesha kuwa: The UN employs 1,291 national and 922 international staff - excluding short-term contracts - at a salary cost of more than Dollars 130m. Almost Dollars 6m of that is distributed via secondary employment of UN house staff, including servants, gardeners, guards, and drivers.
House rents around the Gigiri area of Nairobi have soared, with popular UN residential areas fetching almost Dollars 1,700 a month, compared to around Dollars 750 for properties in other affluent suburbs. The combined rent premium amounts to more than Dollars 10m.
In 1998, Kenya received over Dollars 3m for mailing and telecoms services, water and electricity bills and security services. The cost of transport services to regional programmes - including airdops, the rehabilitation of railways and road construction - topped Dollars 32m.
In fact, Dollars 350m probably understates the UN's impact. Many NGOs have regional centres in Nairobi, consultants abound and several diplomatic missions might not exist without its presence.
In addition, Kenya is sub-Saharan Africa's second largest media hub. And local companies do good business with the agencies, supplying them with drugs, blended foods and blankets. Total UN procurement of supplies in Kenya exceeds Dollars 20m.
As one economic analyst quipped, only half in jest: "Whatever the donors think of Kenya, the UN's presence ensures the economy will always scrape by."
USISAHAU HIZI NI STATISTICS ZA MIAKA 10 ILIYOPITA SASA HIVI HALI IMEBADILIKA KABISA.
@erfan, tunachongea hapa sio some funny research done by 'Mr Smith' of the Financial Times or a great discovery by Lord 'Cumberwell'. Tunaongea socio-economic challenges as we know them. Hizo number unazotoa ni nzuri sana but they are just numbers. Lets talk about the faces behind the statistics. Na hiki ndicho kiini cha debate.
Kwa bahati nzuri sana Tanzania na Kenya wapo karibu na watu toka nchi hizi mbili hutembeleana kwa sababu mbalimbali; work, holiday, etc. Sasa kigugumizi kinatokea pale Tanzania tunapewa picha ya Kenya tofauti na tunavyoifahamu. Kwa mfano kwa mtanzania ambaye hajafika Kenya na wala hana TV akisoma some reports, articles zinavyosifia Kenya anaweza kudhani Kenya ni kama Berlin, kila kitu safi na watu wake wanaishi maisha poa kabisa! Lakini kama umefika Kenya na hasa Kibera & co basi inakuwa shida hata kumaliza kusoma hizo reports.
In short, Mr Smith may well tell us how 'muscline' the Kenyan balance sheet really is lakini one thing is clear Kenya na Tanzania are dancing from the same tune! Poverty!