HAHAHAHA...YOU WIN THE INTERNET TODAY..wewewe.... these guys are way much more stupid than i thought
ndoto za mchana hizi ndugu yanguMuda unakaribia wa Tanzania yetu kuwa the largest economy in the region kuchukuwa nafasi ambayo sasa hivi inashikiliwa na nchi ya Kenya tangu Ukoloni!
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuipita nchi ya Kenya kiuchumi na sasa kujitayarisha kuwa the largest economy in Afrika kila kitu tunacho, tulikuwa tunakosa Rasilimali watu, Uongozi bora na thabiti tu!
Sasa Rasilimali watu inakuja, tunawaandaa sasa vijana wa Kitanzania to take on the World, hivi sasa University hakuna kila Admission University kama hauna high grades, kwa maana hiyo we take only best students!
Utaona kila nchi ya Kenya wanapotoa mguu sisi tunakanyaga tena kwa mguu mkubwa zaidi, wamejenga SGR mwisho 120km/saa sisi tunajenga zaidi ya kilometa 2000 na uwezo wa kwenda mpaka 140 km/saa, kila Kiwanda kilichoko Kenya sasa kimerudiwa hapa Bongo na kwa ubora zaidi hata Maua industry ambayo ilikuwa nonexistent miaka 10 iliyopita hapa TZ kwetu leo hii Arusha inafanya vizuri na uwezekano wa kufanya vizuri zaidi upo baada ya nchi ya Kenya kutakiwa kulipia kodi kwa export ya maua huko Ulaya mpaka karibia 20% wkt sisi ni tax free hili tukijipanga vizuri linaweza kuleta Wakulima wa maua Kenya ktk kuja kuwekeza Arusha yetu!
Kenya Airways inaumwa na iko hoi ina madeni mpaka utosini sisi tunaanza kufufua Air Tanzania yetu!
Ikumbukwe Kenya inatumia pia fedha nyingi kuwekeza kwenye military hivyo kunyima sehemu nyingine fedha na hiyo ni sumu kwa ukuaji wa uchumi lkn ni lazima wafanye hivyo kwa sababu ya wanapigana proxy war kwa ajili ya Israeli na USA!
Hivyo habari ndiyo sasa hivi ni bumper to bumper mpaka tuwakute na kuwapita and it will happen sooner than youmight think!
we will see naskia Uhuru na nchi nzima ya kenya mmepatwa homa ya ghafla baada ya Tanzania kupewa mkopo wa kujenga SRG tena kwa riba nafuu! wakati kipande cha Nairobi-Malaba/Kisumu kimenyimwa!ndoto za mchana hizi ndugu yangu
kenya wanakataa sana wachina kuingia nchini mwao na kufanya jinsi watakavyo..uchumi wa kenya upo well organised vibaya mno....we will see naskia Uhuru kapata na nchi nzima ya kenya imepata homa ya ghafla Tanzania kupewa mkopo wa kujenga SRG tena kwa riba nafuu! wakati kipande cha Nairobi-Malaba/Kisumu kimenyimwa!
peleka upupu wako kwa wajinga wenzio! Mkimuona Geza Ulole usithubutu kuleta maneno na kasumba za mitaani!kenya wanakataa sana wachina kuingia nchini mwao na kufanya jinsi watakavyo..uchumi wa kenya upo well organised vibaya mno....
Boy, si u are obsessed (with Kenya)!Muda unakaribia wa Tanzania yetu kuwa the largest economy in the region kuchukuwa nafasi ambayo sasa hivi inashikiliwa na nchi ya Kenya tangu Ukoloni!
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuipita nchi ya Kenya kiuchumi na sasa kujitayarisha kuwa the largest economy in Afrika kila kitu tunacho, tulikuwa tunakosa Rasilimali watu, Uongozi bora na thabiti tu!
Sasa Rasilimali watu inakuja, tunawaandaa sasa vijana wa Kitanzania to take on the World, hivi sasa University hakuna kila Admission University kama hauna high grades, kwa maana hiyo we take only best students!
Utaona kila nchi ya Kenya wanapotoa mguu sisi tunakanyaga tena kwa mguu mkubwa zaidi, wamejenga SGR mwisho 120km/saa sisi tunajenga zaidi ya kilometa 2000 na uwezo wa kwenda mpaka 140 km/saa, kila Kiwanda kilichoko Kenya sasa kimerudiwa hapa Bongo na kwa ubora zaidi hata Maua industry ambayo ilikuwa nonexistent miaka 10 iliyopita hapa TZ kwetu leo hii Arusha inafanya vizuri na uwezekano wa kufanya vizuri zaidi upo baada ya nchi ya Kenya kutakiwa kulipia kodi kwa export ya maua huko Ulaya mpaka karibia 20% wkt sisi ni tax free hili tukijipanga vizuri linaweza kuleta Wakulima wa maua Kenya ktk kuja kuwekeza Arusha yetu!
Kenya Airways inaumwa na iko hoi ina madeni mpaka utosini sisi tunaanza kufufua Air Tanzania yetu!
Ikumbukwe Kenya inatumia pia fedha nyingi kuwekeza kwenye military hivyo kunyima sehemu nyingine fedha na hiyo ni sumu kwa ukuaji wa uchumi lkn ni lazima wafanye hivyo kwa sababu ya wanapigana proxy war kwa ajili ya Israeli na USA!
Hivyo habari ndiyo sasa hivi ni bumper to bumper mpaka tuwakute na kuwapita and it will happen sooner than youmight think!
Muda unakaribia wa Tanzania yetu kuwa the largest economy in the region kuchukuwa nafasi ambayo sasa hivi inashikiliwa na nchi ya Kenya tangu Ukoloni!