Kuna watu mnanishangazaga sana, hivi mnalipwaga bei gani kuja kuandika upuuzi humu? wanawanunulia laptop na modem kabisa kuja kueneza propaganda? hizo hela wangekua wanazitumia kuboresha mazingira mahospitalini tusingekua tunaongelea mgomo sasa hivi..
Aisee... hivi wanadhani ndio solution? Kama una watu 25,000 mbele yako wanakwambia something is not right how dare you tell them to F*ck off na unawareplace na wengine under the same conditions? Watumie busara bwana, people don't strike for fun!