Kenya Navy Submarine ship ''MV JASIRI'' finally to sail home

like it...............
 
as usual KDF propaganda machine at work..., mmejaa tele kwny huu uzi na mnaangalia najibu nn...,

Hamna lolote nyie wanawali tu
 
Lol @ Tanzania bragging about ousting Iddi Amin, about helping the Liberationists in South Africa... their ill equipped army cant even hurt a fly, its 2012 guys, quit bragging about wars fought in the seventies by your great grandfathers.
 
hivi serikali ya tz na uganda ina hiz taarifa?maana naona kuna arms race inataka kuja kwenye hii region
 
mmekuja wakenya na propaganda zenu huh! kuna kamtu juu hapo hata hajui TPDF ipo darfur..., anadai amegoogle hajaona!! u ask for too much.., ombeni game ya kirafiki basi....,
TPDF ipo darfur ilhali Kshaka amewaonyesha vile ndege zenu zimeingiwa kutu, inaonekana nikama jeshi la TPDF walienda kukanyaga blanketi, au tuseme mliridhika na amani ilhali ugaidi hujui amani wala upendo, ama rangi. Darfur mnaenda kufanya nini ilhali your backyard is so disorganized. Nilishawahi kusema kwenya hii jamvi ya JF kwamba tusiwahi tamani vita nchi moja au nyingine mashariki mwa Afrika. The only threat to the East African peace was Idi Amin, lakini naona mapepo ya ugaidi imerudi kwani tuko na Alshabaab, na ndoa ya alqaeda-alsahabaab. Itabidi nchi zikae ngangari. Musiwahi danganyana au kudanganywa na takwimu za CIA na militaryeinnews kuhusu Afrika na shughuli za jeshi. mtapotoka maana taakwimu hizo wao huzitoa kufurahisha maprofessa wa vyuo vikuu barani ulaya. Halafu, these NATO generals are so dumb wamo UGanda, after AMISOM wameuwawa kama nzige na kumwaga damu zao huko mogadishu,dipo wanakuja I wonder what plans wakonazo na Som. [video=youtube_share;AERkS0tA3Uc]http://youtu.be/AERkS0tA3Uc[/video]
 
kayundi2 13:56 8th February 2012!.

lawmaina78 huo mtumba mlioununua mwaka 2012 mpaka hii leo october 2014 umesaidia kweli kuwamaliza alshabab au yalikuwa ni majigambo "yenyu" tu ya kijinga kama kawa?!.

CC Askari Kanzu Geza Ulole and Kimweri
 
Last edited by a moderator:

moshe dayan at his epic level when analysing security issues.BTW where are you bro?!.
 
kayundi2 13:56 8th February 2012!.

lawmaina78 huo mtumba mlioununua mwaka 2012 mpaka hii leo october 2014 umesaidia kweli kuwamaliza alshabab au yalikuwa ni majigambo "yenyu" tu ya kijinga kama kawa?!.

CC Askari Kanzu Geza Ulole and Kimweri
inavyoelekea KDF ni jeshi la mitumba walinunua pia F16 toka Jordan none can fly! Pia helicopter iliyomuua Prof Saitoti na kuna fighter jet nyingine iliangua walipoanza mashambulizi ya Al Shaabab kule Somalia zote hizi ni kati ya those mitumba arsenals that they brag about! eep:
 
Aren't there forums where you can talk about Tanzanian issues? Mitumba brains.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…