Hapana umekosea, ni namba moja
Ova
Usiwe na shaka, hiyo namba moja haipo mbali tutainyakua tu maana Wakenya ni level nyingine, tatizo huwa tunakwama kwa sababu ya kuzungukwa na majirani wazembe wa kutupwa mbali....angalia hii ramani hapa chini uone Kenya ilivyo na upweke, maishani ukiishi kama umezingirwa na mivivu, utachelewa sana licha ya kujituma, sasa tatizo au changamoto hatuna uwezo wa kubadilisha majirani, inabidi tuwabebe kama walivyo...
Sema kuna wengine wamejitakia tu kuwa maskini, wana kila kitu, hawajawa na machafuko ya kivita, wana raslimali za kila aina lakini maskini wa kutupwa.
Helo JF kwa kukufundisha kiswahili, walau sasa unaongea vitu vinavyoeleweka kama muimba taarabu.
By the way, hujaeleza ni jinsi gani majirani wanavyowakwamisha kufikia malengo yenu ya nishati jadidifu?
Uganda sijui wanakwama wapi maana wao sio wazembe kama mlivyo....
Uganda sijui wanakwama wapi maana wao sio wazembe kama mlivyo....
Wako wapi wale watu wa kuita Kenya failed state? Cc joto la jiweHivyo hivyo tunapeta.
===
Kenya has been ranked fifth globally in an annual Bloomberg index measuring investments and opportunities in clean energy, underlining the country’s position as the centre of renewable energy in Africa.
The BloombergNEF (BNEF) latest Climatescope report says that Kenya’s rise for the first time in the global top five has been backed by the higher contribution of solar, wind and geothermal capacity into the energy mix.
These three now account for up to 65 percent of the country’s energy sources.
Kenya, which had Sh140 billion investments in clean energy sources in 2018, ranked the best in Africa and together with Morocco made it to the top 10 list, beating many others from the developed world, including Europe where most of the clean energy investments are sourced.
“Kenya appears for the first time in the Climatescope top five. The country is gradually increasing its share of non-large hydro renewables by adding solar, wind and geothermal,” says the Bloomberg report.
“In 2018, Kenya recorded its highest ever clean energy investment with $1.4 billion (Sh140 billion). Kenya also accounted for over a third of all 2018 foreign investment into Sub-Saharan Africa.”
The Climatescope 2019 index methodology includes 167 indicators and sub-indicators split into three key topic areas that encompass each country’s previous accomplishments, its current investment environment, and the future opportunities it presents.
Kenya scored 2.52 on the index, behind India (2.93), Chile (2.85), Brazil (2.76) and China (2.59).
The country was praised for its extensive renewable energy value chain as the country boots its contribution of clean energy, which is also cheaper to produce compared to thermal energy.
Source: Business Daily
Jadidifu. Dah. Umetesa kweli.Helo JF kwa kukufundisha kiswahili, walau sasa unaongea vitu vinavyoeleweka kama muimba taarabu.
By the way, hujaeleza ni jinsi gani majirani wanavyowakwamisha kufikia malengo yenu ya nishati jadidifu?
Imekuingia hadi unaniquote mara mbili, pole...
Jadidifu. Dah. Umetesa kweli.
Hivi wewe huwezagi kuiongelea Kenya vizuri bila kuzidunisha nchi nyingine? Mbona mna chuki zisizokoma muda wote? Sehemu wala haihitajiki chuki kabisa lakini unaiibua ili Kenya ionekane bora?Usiwe na shaka, hiyo namba moja haipo mbali tutainyakua tu maana Wakenya ni level nyingine, tatizo huwa tunakwama kwa sababu ya kuzungukwa na majirani wazembe wa kutupwa mbali....angalia hii ramani hapa chini uone Kenya ilivyo na upweke, maishani ukiishi kama umezingirwa na mivivu, utachelewa sana licha ya kujituma, sasa tatizo au changamoto hatuna uwezo wa kubadilisha majirani, inabidi tuwabebe kama walivyo...
Sema kuna wengine wamejitakia tu kuwa maskini, wana kila kitu, hawajawa na machafuko ya kivita, wana raslimali za kila aina lakini maskini wa kutupwa.
Geothermal is our destiny, tuhakikishe tunaongoza dunia kwa Geothermal research,development,production by 2030
Stop the hypocrisy! Wewe ni baadhi ya wale ambao wamezoea kuiita Kenya "failed state"Hivi wewe huwezagi kuiongelea Kenya vizuri bila kuzidunisha nchi nyingine? Mbona mna chuki zisizokoma muda wote? Sehemu wala haihitajiki chuki kabisa lakini unaiibua ili Kenya ionekane bora?
Hivi wewe huwezagi kuiongelea Kenya vizuri bila kuzidunisha nchi nyingine? Mbona mna chuki zisizokoma muda wote? Sehemu wala haihitajiki chuki kabisa lakini unaiibua ili Kenya ionekane bora?
Huyu huwa anasumbuliwa na ufinyu wa akili alafu tena ukiongezea lile dili la sgr lililosainiwa juzi anazidi kuumia na kuonesha chuki za waziwazi 😂😂😂Hivi wewe huwezagi kuiongelea Kenya vizuri bila kuzidunisha nchi nyingine? Mbona mna chuki zisizokoma muda wote? Sehemu wala haihitajiki chuki kabisa lakini unaiibua ili Kenya ionekane bora?
Kwani ni Tanzania ndio ilitaja kenya kama failed state 😂😂😂Stop the hypocrisy! Wewe ni baadhi ya wale ambao wamezoea kuiita Kenya "failed state"
Mbona kashika Mori nchi yako ikitiwa kejeli?