figure hiyo ya millioni 14 internet user Kenya labda kwa ajili ya kupelekea M-Pesa a.k.a TIGOPESA Tanzania na kwa kurushia voucher za credit kwa ajili ya kuongeza balance ya salio ya matumizi ya mobile phone na siyo kwa ajili ya wale watumiaji halisi yaani INTERNET SURFERS wanaoweza kutumia walau dakika 15 ku-surf internet na siyi kurusha salio/M-PESA.
Wa-Kenya kwa kujikuza ati 14 million internet user wakati hela ya sukuma-wiki hawana, migomo ya wafanyakazi na maandamano ya unga wa posho(sembe) hawana, haiwezekani wakaweza kuwa na idadi hiyo ya internet user.
Hapa waseme tu wanapiga debe ili makampuni ya simu na internet providers wa-invest mitaji yao Kenya ili iwe ni internet-hub ya Afrika Mashariki kwa kutumia figures za uwongo za idadi ya internet user.