Kenya wapo mbele sana kwa Geothermal power ukilinganisha na nchi nyingine za EA. Ila kwenye utaalamu hapo ni makampuni ya nje ndio yanafanya kazi, KENGEN hana analojua na visima vingi vinachimbwa na makumpuni ya nje.
Kwenye wataalamu pia wengi ni expatriates, semi skilled jobs ndio wanabeba wakenya. Hata mimi nimeshazionja baadhi ya kazi zenu Naivasha huku nikiwa mbugani, patamu sana kule.
You live in Tanzania. Have you been to the Kenyan geothermal sites.and do you work in HR of these companies. I hate watu kazi zao ni kupayuka payuka bila ushahidi! Anybody can claim alikuwepo hata mwezini bila uhahidi. Get out here busybody!!!Nilikuwa drilling department, all skilled jobs ni expatriates, semi skilled jobs ndio wakenya. Kazi ya juu kwa Mkenya ni Assistant driller, ukija kwenye third party contractors nyingi ndio expatriates tupu. Tena ukifika kwenye ile rig ya wachina ndio hali mbaya zaidi.
I think unapayuka tu, very close friends are geophysicists there at KENGEN AND GDC.. There are no Chinese or foreign expatriates, the technical managers/Eng/Scientists are Kenyans. In fact after you mentioned Chinese i realized you have not been there, coz even the power station equipment are not supplied by China. Kenya drilled their first wells in the 80s, Kenya was the first African country to tap geothermal power. Our experience is un-matched my friend.Nilikuwa drilling department, all skilled jobs ni expatriates, semi skilled jobs ndio wakenya. Kazi ya juu kwa Mkenya ni Assistant driller, ukija kwenye third party contractors nyingi ndio expatriates tupu. Tena ukifika kwenye ile rig ya wachina ndio hali mbaya zaidi.
Naishi wapi haikuhusu, kujua kazi zote nzuri zimechukuliwa na expatriates hahuhitaji kuwa HR, kama imekuuma meza sumu ya panya ila ukweli ni utabaki kuwa almost all skilled jobs zilikuwa chini ya expatriates.
haha power generation in Kenya is an art we have mastered for many years, even tea factories in Mt Kenya region have their ownNilikuwa drilling department, all skilled jobs ni expatriates, semi skilled jobs ndio wakenya. Kazi ya juu kwa Mkenya ni Assistant driller, ukija kwenye third party contractors nyingi ndio expatriates tupu. Tena ukifika kwenye ile rig ya wachina ndio hali mbaya zaidi.
@Vulkan kwanza inabidi ujifunze jinsi ya mradi mzima unavyofanya kazi, KENGEN ni client tu, wanaofanya kazi ni wengine. KENGEN either ananunua umeme kutoka Orpower au anaomba kuchimbiwa visima halafu anaunganisha kwenye mitambo yake ambayo ipo operational tayari. Hao unawaita wataalum wa KENGEN ni wataalam makaratasi, ni sawa na Tz TANESCO wajenge gas plant kwa kutumia contractor halafu useme Tanesco wana wataalamu wa ujenzi wa gas plants wakati kazi yote imefanyika na contractor.
Ok, turudi kwa KENGEN, last well tumechimba last year December na ORMAT( Orpower), kampuni ya Israel, wafanyakazi wote wa juu ni expatriates. Ukiacha Ormat/Orpower kampuni pekee nyingine iliyochimba hapo ni wachina, KENGEN walijaribu kuchimba wenyewe ila wameishia kula hasara tu.
Narudia tena kwenye exploration na drilling ya Geothermal Kenya kazi zote za juu zimechukuliwa na expatriates, kama una washikaji zako wameajiriwa jua kazi yao ni kusukuma makaratasi ila kazi zote zinafanywa na contractors tu.
vulcan huna cha kunifunza kuhusu hili labda kwenye kuvuta mirungi tu.You write all this just to deny that Kenya has capacity to explore and drill geothermal wells.. KENGEN has been drilling geothermal wells and it's no longer news.
Let me also educate you
1.KENGEN employs Kenyan engineers,technicians and other relevant scientists involved.
KenGen rigs to cut cost of geothermal drilling
2. As i had said earlier, the phase which KENGEN hire contractors is after they establish the viability of a well to have the right pressure and temp to generate power needed. Then they contract companies to bring and install power generators, because we still don't manufacture those.Just as any other govt does.
And in any case KENGEN cannot just get a contractor to drill wells that they are not sure about.
Currently KENGEN has 287 geothermal wells in Olkaria that they fully manage.
3. GDC has been contracting companies to do drilling, those are the companies you worked for. But separate to that KENGEN also drills its own wells independent of GDC.
This is how GDC works "After harnessing steam from geothermal wells, GDC sells the steam to private companies known as Independent Power Producers (IPPs) and/or KenGen, who then convert it into electricity.
In the unlikely event that either IPPs or KenGen do not take up the steam, GDC can also generate electricity. Currently, however, there is sustained demand for steam given that GDC has succeeded in de-risking geothermal projects in Kenya making investment in geothermal energy very attractive and very viable. "
4. Also as much as GDC hires contractors, there is a big difference between contractors and consultants, ORMAT does not do consulting work for GDC, i.e what to do and the specs to meet, they are given these specs by the GDC, this cannot be done by laymen as you are saying.
5.If none of the experts are Kenyans, then why is Rwanda and Djibouti not just getting ORMAT ?? instead KenGen is offering technical support to Djibouti on the development of geothermal projects in the country.
6.There are Georthermal Independent power producers in Kenya that have the right to hire anyone they want. Many are foreign ,just like the way ORMAT hired you, though i doubt ORMAT would hire a Tanzania to do drilling in Kenya unless you were working as a Trainee as they usually train people from neighboring nations too.
Na waTZ muache hii dharau, just because something is not in TZ does not mean Kenya cannot have.
vulcan huna cha kunifunza kuhusu hili labda kwenye kuvuta mirungi tu.
1) KENGEN wana ajiri contractor tangu kuanza kuchimbwa kwa kisima cha Geothermal, hawana ujuzi wala utaalamu wa kuchimba wenyewe. Visima vyote vilivyofanikiwa ni vya contractors, rigs za Kengen zinapigwa na mchwa tu baada ya kushindwa kuchimba wenyewe, hiyo pia ni ishara ya kutokuwa na utaalamu na wataalamu. Kama mngekuwa na uwezo na utaalamu mngewakufukuza hata Tullow kule Turkana since principles za uchimbaji ni zile zile tu. KENGEN ni kama dalali tu anayenunua umeme kutoka Orpower na kuiuzia Kenya power.
2) Kwa nini Djibouti na Rwanda wameenda KENGEN? Hili ni swali la kitoto, ni sawa na kuuliza kwa nini GoK ilikuja Dar kujifunza BRT badala la kwenda kwa contractor Ujerumani au kwa nini GoT ilienda Ethiopia kuchukua uzoefu wa ujenzi wa Stiglers Gorge badala ya kumfuata contractor moja kwa moja.
3) Mimi ni trainee au lah hiyo haikuhusu, nazijua a b c d za exploration Kenya vyema, napajua vyema Naivasha, napajua vyema Turkana, napajua vyema Wajir. Najua uwezo wa wafanyakazi wa kikenya na najua pia Geothermal operations kazi kubwa zote zipo chini ya expatriates, hutaki kalambe lolo.
Nimechoka kusoma ujinga wako, hao kwenye picha sio wataalamu, ni form 4 failure, wengi Wamasai waliochukiliwa kama Community programme ya kushikiriana ya jamii inayowazunguka. Sasa kama hao form failures wa Kimasai ndio unaita wataalamu endelea na ujinga wako.
I think you were born in 1989 but damn it you act and reason like a toddler. Unataka kutuambia Djibouti couldnt have directly sourced services from your ormatshiet badala ya kuja kwa KENGEN? Ubongolala wako rudisha vijiweni.Unaniletea picha za Wamasai form 4 failures wanaochukuliwa kutoka katika jamii ya mbugani hapo na Naivasha ndio unasema wataalamu, hao wote ni floorman, hakuna mtaalamu hapo ndio maana hata rig ikihamia tu county nyingine hawezi kupata kazi. Hakuna mtaalamu ambaye atakatazwa kufanya kazi county nyingine, ila nakuhakikisha rig ikitoka Naivasha kwenda county nyingine hao wote wanapigwa chini, kinachowapa kazi ni ujirani mwema na sio utaalamu.
I think you were born in 1989 but damn it you act and reason like a toddler. Unataka kutuambia Djibouti couldnt have directly sourced services from your ormatshiet badala ya kuja kwa KENGEN? Ubongolala wako rudisha vijiweni.