Quicly,eti unawauliza watz mbona hawajapanda mahindi kwa wingi ili watosheleze soko la Malawi na Zambia?Unajisumbua bure jombaa,watz vichwa vyao hawavitumii kwa lingine zaidi ya kukuza nywele,na kuekelea kofia.Hawapendi kufikiria sana,wanaogopa maumivu ya kichwa.Eti unawaambia kuhusu kilimo biashara?Ha!Kama ni umbea wa sijui wema sepetu au dayamondi,hapo sawa!Usishangae hata hayo mahindi wanayopanda sasa hivi wanayapanda 'mapera-style',siunaelewa?Yaani watoto wanalishwa mahindi kwa wingi kisha wanaambiwa wanye shambani.Uvivu nayo!