Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Shida yao and i say it kila time ,******** ana wafeed vitu zenye haziko,mtu hajawai kanyaga Kenia but anaongea nikaa anajua kila part ya kenya,ukweli Nairobi ni moto sana but hata hizo counties zingine si mchezo,To all Tanzanians here please changeni pesa vizuri then mtembee kenya,utajionea is not about nairobi,Mi natoka nairobi but trust mi Kajiado county na Voi are my best coz kuko very developed,hata pia sisi watu wa nairobi hudhani ivyo but tukifika huko tunashtuka,before nilikuwa nadhani Nairobi ni kila kitu but after kutembea ndo naona enyewe kuna towns moto,Hata Nairobi haifikii Mombasa,ni venye Nai iko overrated na maisha iko juuHawaezi amini, whatever propaganda and conception wako nayo that's what they will believe, hawa watu wamelishwa propaganda eti Kenya watu wote wanaumia ili wasiwe na machungu na serikali ovyo ya CCM, imagine imetawala since independence na Tanzania ukitembea ndani, hali duni ya maisha almost kila mahali., ingilia Sirare border, nyorosha hadi Dar pole pole., utashangaa na vile wako na mijisifa hapa!., Dar kwenyewe, ukiangalia 85% plus ya raiya ni technically slum/village type lifestyle dwellers in the city., ovyo!, ni kama yale mandazi y mushomoroni Mombasa, ni slum na tena sio slum, nyumba za kitambo and ugly, haziko kwa mpangilio, ndani ni vibarabara vidogo na maduka za kiushamba, yani mingi ni vibanda vya biashara., sehemu kubwa ni sura mbaya!!!.,
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee baba...unaleta story za vijiweni hapa...peleka umbea mbagala hkoHawa hawa wanashikilia namba za juu kabisa duniani kwa money laundering, prostitution, Drug cartels na human trafficking ndio mnawaona watu wa kuwakaribisha
Kweli mmeamua kubadili biashara na mtavuna mnachopanda
Tunaona Chinatown London na NY wanavyowasumbua mpaka wanaajiri police wachina ili kuwakamata wenzao sembuse nyie
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Haha,kenya watu wenye pesa hawaishi nairobi si uwaambie Kalenjins wanapesa lakini ni ngumu sana kupata kalenjin nairobi,same na waarabuhuyo jamaa ni zuka...yani sai kila county kuna head quarter..na 90%ya hzo towns zimedeveop hta kushinda mbeya...
mwambie aende google acheki kenya na tanzania ni wapi kuna towns nyngi..najuwa hii atairuka
watu wanaishi ocha bana....hawa jamaa wamesimuliwa story na ma babu zao...yaniukiwa mtanzania lazima upandikiziwe chuki...Haha,kenya watu wenye pesa hawaishi nairobi si uwaambie Kalenjins wanapesa lakini ni ngumu sana kupata kalenjin nairobi,same na waarabu
Bia na badoo ndio zimekufanya uwe zuzumzee baba...unaleta story za vijiweni hapa...peleka umbea mbagala hko
Hio ni shida yao juu hao ndo wanaloose,lakini hawa hapa JF ni mdomo mi nina dem fulani Mtanzania anaishi Loitoktok and anapenda kenya sana,pia hawa ni mdomo tu,lakini ule ukweli wanapenda kenya tu sana,Naambiangwa ukaenda uko wajue we ni mkenya wata ku treat vizuri sanawatu wanaishi ocha bana....hawa jamaa wamesimuliwa story na ma babu zao...yaniukiwa mtanzania lazima upandikiziwe chuki...
mtoto akizaliwa lazima aambiwe wakenya wana roho mbaya sana..."kuna wakati waliiba ndege zetu tukawaachia...kidogo kidogo wakataka kuiba mlima wetu ikabidi bunge liingilie kati na kushinda mahakamani"
hii lazima akina joto la jiwe waisambaze kw wajukuu zao
This is a private investment, corruption wapi., haiwezekani., this is as good as done., hii ni Kenya on turbo charge, economy on steroids.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Turkana Wind Power ipo Nairobi?Kila kitu ni Nairobi, miradi yote ya serikali ni Nairobi tu, projects zote na foreign investments zote destined in Nairobi.
Ndio maana njaa inaua counties za pembezoni mnasema huko sio Kenya, okay now I know Kenya ni Nairobi
Its also the same with Tz ..but Tz is more focused kwenye other regions kuliko Dar ...the following are proposed and Under constructionTurkana Wind Power ipo Nairobi?
SGR Naivasha ipo Nairobi?
LAPSETT?
Lamu Coal plant?
Naweza kutajia miradi mingi sana hapa lakini nimeona you're ignorant
Nairobi ni ndogo sana Geographically, in fact, its the smallest county in Kenya followed by Mombasa. Ukiskia wanasema outskirts of Nairobi technically wanamaanisha neighboring County. Kwa mfano Tatu City iko Kiambu, Konza City iko Machakos.... Hii SEZ ya wachina nashuku itakua upande wa Kajiado County karibu na Nairobi CountyKila kitu ni Nairobi, miradi yote ya serikali ni Nairobi tu, projects zote na foreign investments zote destined in Nairobi.
Ndio maana njaa inaua counties za pembezoni mnasema huko sio Kenya, okay now I know Kenya ni Nairobi
Exactly, Nairobi Metropolis is carved out of those regions. From Machokos all the way to Kitengela into Rongai, Kabete, Kiambu to Thika and Ruai. Hawa wajuaji hawaelewi tofauti ya Nairobi City(County) na Nairobi Metropolis.Nairobi ni ndogo sana Geographically, in fact, its the smallest county in Kenya followed by Mombasa. Ukiskia wanasema outskirts of Nairobi technically wanamaanisha neighboring County. Kwa mfano Tatu City iko Kiambu, Konza City iko Machakos.... Hii SEZ ya wachina nashuku itakua upande wa Kajiado County karibu na Nairobi County
Kwaiyo mmewatoa kafara wakenya wa turkanaLoading... we are finding away ya kuwatoa akili kuegemea kwa utamaduni zao na ku embrace modernity, necessity is the mother of invention, so mie naona kwa janga hili, a blessing in disguise this time round wata amka na kuchangamka., kama wa maasai wengi walivyo siku hizi.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjukuu wa Arap mashamba? Maana huna huruma na wekenya wanao taabika na njaa kwajiri ya ukameLoading... we are finding away ya kuwatoa akili kuegemea kwa utamaduni zao na ku embrace modernity, necessity is the mother of invention, so mie naona kwa janga hili, a blessing in disguise this time round wata amka na kuchangamka., kama wa maasai wengi walivyo siku hizi.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Lapsset Project is $26B USD!!!!!! Yote iko Kaskazini na magharibi mwa KenyaIts also the same with Tz ..but Tz is more focused kwenye other regions kuliko Dar ...the following are proposed and Under construction
LNG plant ..Mtwara
Fertilizer plants 1billion USD by German Investors to be built in Lindi ..kumbuka ingwezekana Dar but wameamua iwe Lindi
Mtwara Port is undergoing major expansion about USd214million
Cassava plant Lindi 24 tonnes per day
General tyre plant revival -Arusha
Azam's new sugar factory Bagamoyo pwani
Stiglers Gorge 3bn USD-Morogoro
Miombo hewani wind project 300MWNjombe
Kibo Coal 300MW --Mbeya
Tanga -Uganda oilpipeline
Liganga -Mchuchuma Iron and Coal mining
Pharmaceuticals manufacturing plants some in Pwani, another Big in Simiyu
Ipp automobiles assembly plant ..Dar
Ipp smartphones-touchmate assembly..Dar
Graphite mining..Morogoro and Lindi
Look how thr economy is spreading out to other regions ..not only Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Wat about LNG plant 30bn USD ..in Mtwara onlyLapsset Project is $26B USD!!!!!! Yote iko Kaskazini na magharibi mwa Kenya