Shida ya wabongo ndio hii.... Wepesi kushawishika kwa vitu vya kiseenge matokeo yake ndio tunaunda timu mbovu kuwah kutokea.....
Yondan ni wa kawaida saana, anaonekana game na ndanda .... Kashndwa kumdhibiti keita balde.... Si ujinga huu..
Tuwekage ushabiki kando tutoe comments za ukweli ili kufanikisha chaguz sahihi za wachezaji.
Haya mleta mada... Kipi cha pekee ambacho yondan pekee ndio anacho au kakifanya ambacho anastahil hadi kumwagiwa sifa zoote