NAFASI YA KAZI .........
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhi hadi saa tisa jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi Jumatatu hadi Ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi upo.
Sifa za muombaji:
1.Cheti cha Form 4 au Form 6, Chuo au Diploma.
2. Hakuna uzoefu unaohitajika.
3. Umri chini ya miaka 45.
Kama unahitaji hiyo kazi, basi usijali, kandamiza "Like" na njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi ninatafuta sana kazi kama hiyo.
Bila shaka jamaa ni miongoni mwa hawa Form Four waliofeli (aka walio.differentiate the constant), sasa baada ya kufeli ameamua kutafuta kazi. Lakini heri yeye hajajinyonga!...
Sifa za muombaji:
1.Cheti cha Form 4 au Form 6, Chuo au Diploma.
2. Hakuna uzoefu unaohitajika.
3. Umri chini ya miaka 45....