hollo Deus Member Joined Dec 10, 2018 Posts 22 Reaction score 6 Jul 5, 2019 #1 Habari wapendwa!natafuta KAZI ya kufundisha ,sekondari hata msingi,nipo dar,masomo Ni kingereza na kiswahili.no 0718094485.
Habari wapendwa!natafuta KAZI ya kufundisha ,sekondari hata msingi,nipo dar,masomo Ni kingereza na kiswahili.no 0718094485.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,532 Jul 5, 2019 #2 Vipi Hautafuti Ndoa? Mm natafuta Mke
Ze last Born JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 1,768 Reaction score 3,876 Jul 5, 2019 #3 Hazchem plate said: Vipi Hautafuti Ndoa? Mm natafuta Mke Click to expand... Nyumbu kama wewe huwa hawakosekani kila Uzi sijui kwanini? Ungeficha tu ujinga wako kwa kukaa kimya
Hazchem plate said: Vipi Hautafuti Ndoa? Mm natafuta Mke Click to expand... Nyumbu kama wewe huwa hawakosekani kila Uzi sijui kwanini? Ungeficha tu ujinga wako kwa kukaa kimya