Mkuu unamaanisha kazi ya kujitolea AKA (bila malipo) ?
Duh hiyo mbona akigongea shule yoyote atapata, au hata kwanini asikusanye watoto mitaani aanze kuwapiga somo, akipata soko aanze kuwachaji kiasi fulani kama Tuition. Mkuu kama kuna Fani Tanzania ambayo mtu bado ni vigumu kukosa kazi ni ya kufundisha.