chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 Feb 5, 2015 #1 habari wadau aliye apply kazi za emirates kupitia emirates careers kuna kipengele cha certification.sijaelewa wanataka nini.mwenye kuelewa anijuze
habari wadau aliye apply kazi za emirates kupitia emirates careers kuna kipengele cha certification.sijaelewa wanataka nini.mwenye kuelewa anijuze
frankchelsea Member Joined Oct 25, 2013 Posts 44 Reaction score 3 Feb 5, 2015 #2 chief bazoka said: habari wadau aliye apply kazi za emirates kupitia emirates careers kuna kipengele cha certification.sijaelewa wanataka nini.mwenye kuelewa anijuze Click to expand... Pitia kwa mwanasheria upigiwe muhuri. Kama upo mjini nitafute..
chief bazoka said: habari wadau aliye apply kazi za emirates kupitia emirates careers kuna kipengele cha certification.sijaelewa wanataka nini.mwenye kuelewa anijuze Click to expand... Pitia kwa mwanasheria upigiwe muhuri. Kama upo mjini nitafute..
K kikumbu Member Joined Jan 10, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Feb 5, 2015 #3 Jamani wanajamii naombeni nifafanulie jinsi ya kuapply kazi za emirates nifanyaje ili niweze kuapply?
Jamani wanajamii naombeni nifafanulie jinsi ya kuapply kazi za emirates nifanyaje ili niweze kuapply?
chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 Feb 5, 2015 Thread starter #4 ingia emirates careers fungua account fuata procedures