Bint mkwel
Member
- Oct 27, 2015
- 12
- 2
Hiyo address ya e mail tu umeshakosa kazi...habari waungwana
naomba msaada kwa kwenye shirika au ofisi yoyote yenye uhitaji wa muhasibu anisaidie nipate kazi au nijitolee, Nimemaliza diploma ya uhasibu mwaka huu 2016 TIA dar . plz PM or email yangu mchapakazisana@gmail.com.
Nakubaliana na weweHiyo address ya e mail tu umeshakosa kazi...
Ushauri next time ukiandika post kama hii elezea competence yako mfano
You are good in preparing all govt statutory returns eg PAYE,VAT,WHT etc
Expertise in Accounting Software and you name it eg Tally,Quickbook etc
Na mengineyo na ni vyema ukaweka a real e mail address yenye jina lako halisi na uka attach na CV
Karibu
kachukue BCOM-a/cc zen lete cvDiploma ni karani sio mhasibu.
Soma vyeo vya wahasibu na elimu hitajika kwenye website ya NBAA
Mkuu GOD66 mimi ni graduate wa bcom accounting vp naruhusiwa kukupa cv??kachukue BCOM-a/cc zen lete cv
waone ma HR wapo wengi humuMkuu GOD66 mimi ni graduate wa bcom accounting vp naruhusiwa kukupa cv??