Wanajamvi, mimi natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa au madogo si za abiria. Nina leseni ya magari magari ya mizigo lakini toka nimalize chuo cha udereva huu kazi bado sijapata.[emoji18] [emoji18] nina umri wa miaka 37. Sinywi kelevi wala sivuti sigara au mengine. Ahsanteni