Ni kazi ya melini, yaani kufanya kazi kwenye meli inayosafiri, kuanzia kusongesha chombo, ufundi, upishi na nyinginezo. Back in time, kuwa baharia ilikuwa ndoto ya vijana wengi wa Dar, na baharia alikuwa mjanja kwelikweli kwani walisafiri nchi nyingi duniani.
Huyo Wile anadhani bado tuko enzi zile...