Kazi ya ualimu

geee kay

Senior Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
112
Reaction score
63
Natafuta kazi ya kufundisha katika shule yoyote,katika masomo ya Geohraphy na Kiswahili.Mimi ni Mhitimu wa degree ya kwanza
 
Hapana... Huwezi kuwa mwalimu wa Geography!!!! Niamini mimi.
 
Degree ya nini? Funguka vizuri
 
Kama physics or maths you are warmly welcome
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…