Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,193 Jan 21, 2021 #1 Anahitajika mdada au mkaka mwenye uzoefu wa kutengeneza na kuuza chipsi, kuku, ndizi na nyama choma kwa ujumla Eneo: Morogoro CBD Umri 19-25 Mshahara 90k Chakula cha mchana free (Eneo la kulala free) Mawasiliano njoo DM NB: Uwe serious na kazi
Anahitajika mdada au mkaka mwenye uzoefu wa kutengeneza na kuuza chipsi, kuku, ndizi na nyama choma kwa ujumla Eneo: Morogoro CBD Umri 19-25 Mshahara 90k Chakula cha mchana free (Eneo la kulala free) Mawasiliano njoo DM NB: Uwe serious na kazi