Kazi ya kununua

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Nina shahada ya computer science natafuta kazi si lazima iwe kwenye industry hiyo,nipo tayari kujisaidia kwa kiasi fulani cha pesa.nipo dar, help pls..
 
unajua nin na nini kwenye koz yako i.e installation, c plus plus au
 
hii ni dalili ya kukosa vigezo,kazi za kununua zipo Tanesco na Dawasco nenda utapata watu kibao wanaingizwa kwa style hiyo wanataka million moja tu
 
Shahada ya Computer Science halafu unatafuta kazi!!! Ulihitimu Chuo gani mtanzania mwenzangu? Mbona kazi za kada hiyo zipo nje nje hata leo hii ukichukua gazeti lolote makini hutakosa au vigezo vimepungua?
 
Computer mkuu pana weka umeiva wapi? programming, manetwork au madesa pekee?
 
hii ni dalili ya kukosa vigezo,kazi za kununua zipo Tanesco na Dawasco nenda utapata watu kibao wanaingizwa kwa style hiyo wanataka million moja tu

vigezo vipi hvyo dadavua! Poa ntacheki nao.
 
Shahada ya Computer Science halafu unatafuta kazi!!! Ulihitimu Chuo gani mtanzania mwenzangu? Mbona kazi za kada hiyo zipo nje nje hata leo hii ukichukua gazeti lolote makini hutakosa au vigezo vimepungua?
kigezo experience ndyo kinaleta shida.
 
Computer mkuu pana weka umeiva wapi? programming, manetwork au madesa pekee?

networking,pc maintenance and troubleshooting,web design' na database kidogo.
 
kigezo experience ndyo kinaleta shida.
Mkuu unafuatilia ajira zinazotangazwa na tume ya utumishi wa umma? Juzi kati tu walitangaza nafasi kibao na sasa wameajiriwa vijana wengi sana fresh from colleges fani yako wakiwemo wa kutosha tu.
 
hiyo hela ya kuonga ...JIAJIRI fungua ofic ndogo badae itakuwa kubwa ..tatizo mnapenda kupanga folen ya mwisho wa mwezi wakat uwezekano wa kujiajiri upo....netwrkin' trblshooting & maintanance webdesg na datbse unang'aa sharubu mjini unasubiri .... kuhonga ..wa wasio na hela ya kuhonga wafanyaje?
 
Kama zinauzwa hata Mimi nanunua,anayeuza anipm mi ni mtu wa IT
 
kujiajiri tumesha jiajili hapa tunatafuta njia mbadala ya kuingiza pesa nyingi

You are very wrong! Pesa nyingi haipatikani kwa kuajiriwa kamwe, labda uwe kitengo chenye urahisi wa kupiga ufisadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…