C clearmind JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 812 Reaction score 1,924 Apr 25, 2014 #1 habari ndugu, natafuta nafasi ya kufundisha shule ya private kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nimesoma BSc. Ed (chem. na biol) udsm 2010/2013. Unaweza kunitafuta kwa namba hii; 0757312093, nitumie sms nitakutafuta maana niliko mtandao ni tatizo. Asante!
habari ndugu, natafuta nafasi ya kufundisha shule ya private kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nimesoma BSc. Ed (chem. na biol) udsm 2010/2013. Unaweza kunitafuta kwa namba hii; 0757312093, nitumie sms nitakutafuta maana niliko mtandao ni tatizo. Asante!