Inabidi utoe maelezo yanayojitosheleza ili uweze kueleweka vizuri, vitu kama.;
1. Mahala pa biashara/ufugaji (mabanda yapo? Ya kwako au unahitaji aliyenayo au ndio ujenzi inabidi uwe ndani ya makubaliano)
2. Mtaji
3. Aina ya mkataba( unahitaji mtu wa kuajiri kufanya nae kazi au partner katika hiyo biashara)
Na vinginevyo..