Duh kweli Simple minded people utawajua.
Haibiwi mtu humu.
Msone Meinkampf hapo juu.
Anzia kwanza kusaidia ndugu zako woote ndio ulete kazi hapa zisizo na profile.
Yaani kama ungejua kazi ya hii forum wala usinge post .Humu kuna watu Vichwa kweli,kila fani unayoijua wewe wamo humu.
Sasa kama unaona huna uwezo wa kuandika kazi gani na kama huna uwezo wa kujieleza utakwama.
Mie nikitaka kusaidia nasaidi kwa uwazi na ninachokiweza sio kuibia watu.
Jamani ingekuwa fresh kila aliejiunga humu apimwe akili maana humu wapo hadi watu wa mirembe nahis watu wangetakiwa wawe. Critical thinker and argumentation
Ndiyo umeshaandika hivyo.Sijuwi niandike nini!
Hahaha,
Nakwambia uelewa mdogo ndugu yangu.
Sasa umeelewa au umevami tu alivyoandika mwenzio hembu soma tena .
ITV wanatangaza kwa Sh:200,000,peleka tangazo lako kama unataka kusaidia watu upone kama kesho hawajai.Ila uwe ni mlipa kodi na ina usajili,sio kupeleka tu.
Ingekuwa ujanja au uelewa kujiunga mapema basi usingetuletea ujuha wa ajira zako zakilevi
huu nao ni utapeli kama utapeli mwingine.
Ngoja mie nimalizie kuchukua TIN ya kampuni hapa TRA kimara niachane na huu wizi kwa kigezo cha watu kukosa ajira.
Karibuni kwenye ofisi yangu jamani kwa shughuli za
-Land surveying
-Valuation
-Project/Programme Monitoring & Evaluation
-Estate Agency
-Property Development Consultancy
-Real Estate Investment Analysis
MTUSAMEHE,TUMEPATA IDADI KUBWA SANA YA PM.INATOSHA HATUTAJIBU TENA PM.Asanteni kwa waliotutumia PM na TUNAWASHUKURU kwa waliuotupa mawazo yao mazuri na mabaya.
====
Aina a kazi:Kawaida(general duties).
Elimu😀arasa la 7-kidato 4.
Sehemu ya kazi:Mkoa Pwani
Mshahara:150-200,000TZS
Mengineyo:Awe mwenye afya njema na uwezo wa kujitetea na wahalifu,nyumba atapewa chumba 1,chenye maji na umeme-atalipiwa,awe na wadhamini 2 wanaofanya kazi serikali.Kwenda kazini,hapahitaji nauli/usafiri.
Majibu ,yatatumwa kwa watakaoteuliwa tu.Majibu yatatoka tarehe 15.Aug.2013.Jiandae kuombwa picha kuthibitisha afya yako kwa nje kwanza.Hapahitajiki ujuzi kwa sababu kila kitu atafundishwa.
Njia ya kutuma maombi ni kwa PM tu,ili upewe maagizo ya ziada.
matapeli wakubwa nyie hakuna kazi ambayo mtu aambiwi ujuzi, na vyeti vyake vya uhalisia endeleeni kuwatapeli wajinga wenzenu
very sad!maneno yako uliyoandika ya bible na kuita watu wajinga haviendani.Ndio dunia-mungu akubariki!nimekubali.Ila kwa taarifa tu,kama wewe huna ndg yeyote basi ndg yako anaweza kuwa na ndg ambaye anafanya kazi na alianza bila ujuzi wala hakuihitajika kuwa na vyeti.Tumia lugha ya busara ndg yangu.kweli dunia hii kazi zote zinahitaji ujuzi na vyeti?*?
hata ukimshirikisha Mungu jua wazi wewe ni tapeli huwezi kuweka uzi humu halafu ukawababaisha watu ambao wanangaika kutafuta kazi kila iitwapo leo na wewe unabakia kuwa enjoy tu
Bora umejisalimisha kama sio tatizo la Kiswahili"........niachane na huu wizi".....
Unatangaza biashara huku TRA hawakujui ndg yangu?Ingekuwa bora ungesema nitawakaribisha....sio waje sasa hivi kumbe si nia yako kufanya biashara bila kuwa na TIN.