P Point of No Return 19 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2023 Posts 203 Reaction score 476 Jan 13, 2024 #1 Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ??? Naombeni connection ya kazi wapendwa Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz,
Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ??? Naombeni connection ya kazi wapendwa Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz,
M muvangulumemile JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 697 Reaction score 983 Jan 14, 2024 #2 Aunty G19 said: Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ??? Naombeni connection ya kazi wapendwa Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz, Click to expand... Officne ndio nini?ukiwa unaandika jitahidi utumie Kiswahili fasaha,watu wazima Wana kinyaa na lugha zenu hizi
Aunty G19 said: Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ??? Naombeni connection ya kazi wapendwa Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz, Click to expand... Officne ndio nini?ukiwa unaandika jitahidi utumie Kiswahili fasaha,watu wazima Wana kinyaa na lugha zenu hizi
P Point of No Return 19 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2023 Posts 203 Reaction score 476 Jan 14, 2024 Thread starter #3 muvangulumemile said: Officne ndio nini?ukiwa unaandika jitahidi utumie Kiswahili fasaha,watu wazima Wana kinyaa na lugha zenu hizi Click to expand... Sawa MTAKATIFU
muvangulumemile said: Officne ndio nini?ukiwa unaandika jitahidi utumie Kiswahili fasaha,watu wazima Wana kinyaa na lugha zenu hizi Click to expand... Sawa MTAKATIFU
little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 2,098 Reaction score 3,990 Jan 14, 2024 #4 Aunty G19 said: Sawa MTAKATIFU Click to expand... Hahahaha kwamba yeye hakosei
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,589 Reaction score 3,639 Jan 14, 2024 #5 Nenda AZAM, katika kampuni zake kazi njemje..
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,437 Reaction score 54,911 Jan 14, 2024 #6 Tayari ushapata
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,703 Reaction score 44,059 Jan 14, 2024 #7 Mgodo visa said: Nenda AZAM, katika kampuni zake kazi njemje.. Click to expand... Avae barakashia kabisa hapo atakuwa na uhakika 89%
Mgodo visa said: Nenda AZAM, katika kampuni zake kazi njemje.. Click to expand... Avae barakashia kabisa hapo atakuwa na uhakika 89%
P Point of No Return 19 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2023 Posts 203 Reaction score 476 Feb 24, 2024 Thread starter #8 Poor Brain said: Tayari ushapata Click to expand... Bado
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,657 Reaction score 81,559 Feb 24, 2024 #9 Weka CV umesoma au unajuzi gani Umri jinsia n.k. Usiseme kazi yoyote pasipokujua aina gani ya kazi unaweza kuifanya maana kazi za viwandani sio kazi utakufa mapema tena Kwa mateso. Ikiwa umebanwa sana tafuta kwanza kazi za kutoa huduma Kama ya chakula na vinywaji unazie hapo huko viwandani sikushauri.
Weka CV umesoma au unajuzi gani Umri jinsia n.k. Usiseme kazi yoyote pasipokujua aina gani ya kazi unaweza kuifanya maana kazi za viwandani sio kazi utakufa mapema tena Kwa mateso. Ikiwa umebanwa sana tafuta kwanza kazi za kutoa huduma Kama ya chakula na vinywaji unazie hapo huko viwandani sikushauri.
P Point of No Return 19 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2023 Posts 203 Reaction score 476 Feb 24, 2024 Thread starter #10 Point of No Return 19 said: Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ??? Naombeni connection ya kazi wapendwa Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz, Click to expand... Ahsante
Point of No Return 19 said: Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ??? Naombeni connection ya kazi wapendwa Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz, Click to expand... Ahsante