duu wanasemaga no data, no right to speak! hakika umekurupuka hapa umetuongopea, binafsi ninawafahamu watu wanaofanya hapo kazi wanalipwa kidogo ila si kama ulivyotuongopea hapo inafika mara mbili ya hiyo

amini ninachokuambia aliyesema kiwango hicho amehapa pale siku si nyingi hivyo nina kila sababu ya kuamini kiwango hicho tena anasema kuna bonas huwa zinatolewa ukifanya vizuri jumla inaweza kufika laki 5.
nimefanya kazi pale,ipo hivi hiyo 180000 unalipwa wakat wa training ambayo haitazidi miezi miwil,ukiajiriwa unalipwa basic 340000,na unakua unapata bonas kutegemea utendaji kazi wako.binafsi mpaka naacha kazi nilikua napata gross almost 1.6m na net 1.1m.kiukwel katka microfinance banks za hapa mjini jamaa wanajitahid ktk scheme zao za bonas.na ukizingatia hakuna kazi nyepesi mjini hapa kama ya uafisa mikopo so the bonus is yours kama ukiwa pale.