kweli kudumu kwenye mahusiano si kitu kidgo,,,nawavulia kofia ote wanao-count down years,,,,
kanifuata mpenz wangu mkoa nilipo tumekaa zaid ya 4 days lkn ck ya mwisho yakawa majanga kwan aliiifuma txt nlimtumia dem 1 iv wa uk uk kwamba leo kiwanja bi mkubwa atakua amesepa(pesa ya kuntia kibur c ipo!),,
Mpenz karud leo moro ila ndo ivo ful kutokuniamin,,,naona mpaka aibu coz alikua ananiamin sana na kilichotokea hata akiendelea na mm hatakaa aniamin,,,
wasalaam