Jaji matundu
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 251
- 92
katika mkutano wake wa kutangaza nia huko lindi membe alitoa kauli ambayo imenishangaza pale aliposema "enzi za mwalim ilikua mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wanawajibishwa nitakapo kua raisi itakua kinyume mimi nitamwajibisha mpokea rushwa na mtoa rushwa ni tamwachia" kiukweli hasa hapo pa kumwachia mtoa rushwa ndipo pameniacha mdomo wazi.
kwasababu hata hawa wanasiasa wanao toa rushwa za chumvi na sukari kwenye uchaguzi inamaana membe ata waacha na kwenda kushika raia ambao wamepokea vitu hivyo?
ina maana watu kama Ruge malira wanao honga vigogo wataachiwa? Wadau hii kauli ina faa kumpa membe urais?

si kweli mtoa rushwa ukitoa taarifa unatiwa matatani.ukitoa taarifa za kuombwa rushwa unapewa hela zao ili wamkamate mpokeaji.tatizo pccb ukiwapa taarifa kama wanamjua wanamtonya muhusika unabaki unaumbuka.Huku mwelewa MH. Membe.Hoja ni kwamba unapowaweka wote wanahatia inakuwa ni vigumu kuchunguza kesi kwani wote wawili wataficha ili ukweli usijulikane.
Lakini uki mvictimize mpokea rushwa then mtoa rusha atakuwa tayari ku cooperate na vyombo husika ili kumtia hatiani aliyepokea rushwa.
Hii ni kwa sababu kwa rushwa zilizo nyingi mpokea rushwa ndo chanzo. Mtoa rushwa anakuwa hana namna. Analazimika kutoa ili mambo yake yaende huku akiumia moyoni. Sasa kwa sheria ya rushwa ya sasa mtoa rushwa akienda kutoa taarifa na yeye anaingia matatani ndo maana vitendo vingi vya rushwa haviwi reported.
si kweli mtoa rushwa ukitoa taarifa unatiwa matatani.ukitoa taarifa za kuombwa rushwa unapewa hela zao ili wamkamate mpokeaji.tatizo pccb ukiwapa taarifa kama wanamjua wanamtonya muhusika unabaki unaumbuka.
Mie nitasimamia mantiki ya kauli hiyo bila kujali aliyeimtoa. Hebu fikiria, mkeo mjamzito, unapofika hospitali unazinguliwa, unaombwa hela ili fanyiwe upasuaji. Unaonaona sio haki, unatoka hospitali unaenda pccb unaripoti, wanakuja wanaweka mtego, unatoa hela dakatari aliyetakiwa kumfanyia mkeo upasuaji anakamatwa. Mkeo anafariki wakati wewe ukitekeleza sheria ya nchi. Sawa hiyo? Ilitakiwa utoe hiyo rushwa kwanza, upasuaji ufanyike halafu uripoti ili daktari ashughulikiwe, wewe ukiwa shahidi kuwa kutoa ile rushwa. Hiyo ndio mantiki. Kubadili sheria sio dhambi. Rais anapoapa anaapa kulinda katiba iliyopo kwa wakati huo anapoapa. Akishaapa hata hiyovkatiba anaweza kuibadili.
Huyu Membe alishajitoa kwenye kampeni aliposema atampigia debe Mwandosya, sasa kwa ninibwatu wanaendelea kumsikikiza kama mgombea urais wakati yeye mwenyewe ana mtu wake anayetaka awe rais?
Mtu haekewi hata maneno gani yanatakiwa kusemwa na maneno gani hata kama unayafikiri hutakiwi kusema anawezaje kuwa rais?
Huku mwelewa MH. Membe.Hoja ni kwamba unapowaweka wote wanahatia inakuwa ni vigumu kuchunguza kesi kwani wote wawili wataficha ili ukweli usijulikane.
Lakini uki mvictimize mpokea rushwa then mtoa rusha atakuwa tayari ku cooperate na vyombo husika ili kumtia hatiani aliyepokea rushwa.
Hii ni kwa sababu kwa rushwa zilizo nyingi mpokea rushwa ndo chanzo. Mtoa rushwa anakuwa hana namna. Analazimika kutoa ili mambo yake yaende huku akiumia moyoni. Sasa kwa sheria ya rushwa ya sasa mtoa rushwa akienda kutoa taarifa na yeye anaingia matatani ndo maana vitendo vingi vya rushwa haviwi reported.
Ulisikiliza nusu wewe, alisema kama mtoa rushwa atatoa taarifa ya kuombwa rushwa ataachwa na kuwajibishwa aliyeiombakatika mkutano wake wa kutangaza nia huko lindi membe alitoa kauli ambayo imenishangaza pale aliposema "enzi za mwalim ilikua mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wanawajibishwa nitakapo kua raisi itakua kinyume mimi nitamwajibisha mpokea rushwa na mtoa rushwa ni tamwachia" kiukweli hasa hapo pa kumwachia mtoa rushwa ndipo pameniacha mdomo wazi.