Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,165
- 1,359
Nikweli mkuu, huyu jamaa yuko vizuri sana ila watu wengi wanamchukulia poa..Naunga Mkono Hoja
Masoud Kipanya anajielewa
Ni mwanaharakati asiyejitangaza ila utundu na kipaji vinamtangaza.
Naunga Mkono Hoja
Masoud Kipanya anajielewa
Ni mwanaharakati asiyejitangaza ila utundu na kipaji vinamtangaza.
Ana maswali magumu sana aisee,, ingekuwa patashika nguo kuchanika..Hata mimi Masoud Kipanya namkubali hata kwenye utangazaji yuu yuko vizuri, ilibidi ile press ya sizonje magogoni angewekwa naye amuulize maswali
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ni Azarel wa kabila la Mongbetu, tuliishi naye central Africa zamanii.Umechoka kumuweka yule mwanao kwenye Avatar ana kichwa cha ajabu