Katuni Chochezi?

Niliipenda majibu ya msemaji wa serikali, kuwa hawana tamko zaidi ya kuwatakia pasaka njema
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ningekua magufuli mbona wengi sana wangeozea jela!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ningekua magufuli mbona wengi sana wangeozea jela!
Yaani ungewafunga wapakwa mafuta wa bwana .unajua wanaongoza jamii mzima? Unajua hasara take .we we hufai hata uenyekit wa kijiji
 
Yaani ungewafunga wapakwa mafuta wa bwana .unajua wanaongoza jamii mzima? Unajua hasara take .we we hufai hata uenyekit wa kijiji
Yaani jinsi tu ilivyonijib ningekutia ndani mwaka bila dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…