Tutorial 1X
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,908
- 2,036
Jamani mbavu zangumkuu, ukipanga safari na mwanamke yani itakubidi kama ulipanga saa 5, yani we mwambie safari SAA 3,,ili umwachie Massa mawili ya kujiremba, ukishawajua wakina dada kuishi nao sio shida sana..
*kimbembe akikuuliza nimependeza then jaribu kusema hapana uone ndo utamfanya aparanganyue maguo yake yote kwenye kabati, aanze upyaa kuvaa*
Ndiyo maana serikali inawataka vijana wote wapitie jkt kwenda "kupikwa".