Kolomije wa Dar
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 284
- 789
So what ????Tunajifariji kisiasa tu lakini ukweli ni kwamba kwa madaraka aliyopewa Mkuu wa Mkoa ndani ya katiba na sheria hamuwezi kumuepuka hata kidogo.
Mtafanya mambo yote lakini mwisho wake lazima Mkuu wa Mkoa akamilishe.
Muundo wa katiba yetu unasema hakuna serikali za mitaa bila serikali kuu lakini serikali kuu inaweza kuwepo bila serikali za mitaa.
Ni sawa na wabunge kusema hawamtambui Rais wa Tanzania wakati msingi wa kazi zao ni kuisimamia serikali inayoundwa na Rais.
Madiwani hawawezi kutunga sheria ndogondogo bila kwanza kupitia kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla haijafika kwa Waziri wa TAMISEMI.
Mkuu wa mkoa ana uwezo wa kuzikataa sheria ndogondogo kama anadhani hazina maslahi kwa mkoa wake.
Hiviii hukuwa na kale kakamera kako ukaturekodia tumuone huyo GAMBUSH?Jana kulikua na mazishi ya jirani yetu hapa mtaani mazishi yalifanyika makaburi ya njiro basi watu tshamaliza kuzika sa 11 mara tunaona V8 linaingia na bendera yake fasta gambo anataka apewe Shada na Maiki aanze siasa zake watu baada ya kuskia Gambo anataka kuongea kla mtu akapanda gari na kuondoka akabaki na wanaccm kama 10 arusha hatutakagi ujinga Diwani anaheshimika kuzidi RC
So what ????
Kumbe Na wewe ulikuwepo?Jana kulikua na mazishi ya jirani yetu hapa mtaani mazishi yalifanyika makaburi ya njiro basi watu tshamaliza kuzika sa 11 mara tunaona V8 linaingia na bendera yake fasta gambo anataka apewe Shada na Maiki aanze siasa zake watu baada ya kuskia Gambo anataka kuongea kla mtu akapanda gari na kuondoka akabaki na wanaccm kama 10 arusha hatutakagi ujinga Diwani anaheshimika kuzidi RC
Tunajifariji kisiasa tu lakini ukweli ni kwamba kwa madaraka aliyopewa Mkuu wa Mkoa ndani ya katiba na sheria hamuwezi kumuepuka hata kidogo.
Mtafanya mambo yote lakini mwisho wake lazima Mkuu wa Mkoa akamilishe.
Muundo wa katiba yetu unasema hakuna serikali za mitaa bila serikali kuu lakini serikali kuu inaweza kuwepo bila serikali za mitaa.
Ni sawa na wabunge kusema hawamtambui Rais wa Tanzania wakati msingi wa kazi zao ni kuisimamia serikali inayoundwa na Rais.
Madiwani hawawezi kutunga sheria ndogondogo bila kwanza kupitia kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla haijafika kwa Waziri wa TAMISEMI.
Mkuu wa mkoa ana uwezo wa kuzikataa sheria ndogondogo kama anadhani hazina maslahi kwa mkoa wake.
Na hapo Ndipo ccm hupatumia kuweka "matakataka"yao ili kuwa confuse watu wa maana na wenye maslahi kwa mkoa "wao" sasa unakuta linaletwa lipumbavu kutoka hukoooo halafu linakuja na kudai eti Mkoa Wangu! Na wewe unasema eti anaweza kuamua chochote Kwenye mkoa "Wake"laanakhumTunajifariji kisiasa tu lakini ukweli ni kwamba kwa madaraka aliyopewa Mkuu wa Mkoa ndani ya katiba na sheria hamuwezi kumuepuka hata kidogo.
Mtafanya mambo yote lakini mwisho wake lazima Mkuu wa Mkoa akamilishe.
Muundo wa katiba yetu unasema hakuna serikali za mitaa bila serikali kuu lakini serikali kuu inaweza kuwepo bila serikali za mitaa.
Ni sawa na wabunge kusema hawamtambui Rais wa Tanzania wakati msingi wa kazi zao ni kuisimamia serikali inayoundwa na Rais.
Madiwani hawawezi kutunga sheria ndogondogo bila kwanza kupitia kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla haijafika kwa Waziri wa TAMISEMI.
Mkuu wa mkoa ana uwezo wa kuzikataa sheria ndogondogo kama anadhani hazina maslahi kwa mkoa wake.
Mkuu huwa sipendi kubishana hasa mambo ya siasa yasiyo na tija lakini acha nikujibu kwa heshima;Tunajifariji kisiasa tu lakini ukweli ni kwamba kwa madaraka aliyopewa Mkuu wa Mkoa ndani ya katiba na sheria hamuwezi kumuepuka hata kidogo.
Mtafanya mambo yote lakini mwisho wake lazima Mkuu wa Mkoa akamilishe.
Muundo wa katiba yetu unasema hakuna serikali za mitaa bila serikali kuu lakini serikali kuu inaweza kuwepo bila serikali za mitaa.
Ni sawa na wabunge kusema hawamtambui Rais wa Tanzania wakati msingi wa kazi zao ni kuisimamia serikali inayoundwa na Rais.
Madiwani hawawezi kutunga sheria ndogondogo bila kwanza kupitia kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla haijafika kwa Waziri wa TAMISEMI.
Mkuu wa mkoa ana uwezo wa kuzikataa sheria ndogondogo kama anadhani hazina maslahi kwa mkoa wake.
Tunajifariji kisiasa tu lakini ukweli ni kwamba kwa madaraka aliyopewa Mkuu wa Mkoa ndani ya katiba na sheria hamuwezi kumuepuka hata kidogo.
Mtafanya mambo yote lakini mwisho wake lazima Mkuu wa Mkoa akamilishe.
Muundo wa katiba yetu unasema hakuna serikali za mitaa bila serikali kuu lakini serikali kuu inaweza kuwepo bila serikali za mitaa.
Ni sawa na wabunge kusema hawamtambui Rais wa Tanzania wakati msingi wa kazi zao ni kuisimamia serikali inayoundwa na Rais.
Madiwani hawawezi kutunga sheria ndogondogo bila kwanza kupitia kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla haijafika kwa Waziri wa TAMISEMI.
Mkuu wa mkoa ana uwezo wa kuzikataa sheria ndogondogo kama anadhani hazina maslahi kwa mkoa wake.
Mkuu,Mkuu huwa sipendi kubishana hasa mambo ya siasa yasiyo na tija lakini acha nikujibu kwa heshima;
1- Gambo ni mkuu wa mkoa halali hili
halina ubishi, tatizo vitendo vyake
Vinajenga chuki, hasa ubabe na siasa
za maji taka ilhali yeye ni kiongozi/
M/kiti wa ulinzi wa usala asiyepaswa
kuegemea chama.
2- Huyu bwana anafanya siasa kwa kila
Kitu. Hivi majuzi alikuwa na ziara manispaa ya Arusha, ni aibu tupu, anafanya kampeni ya chama badala ya kutumikia wananchi wote sawa na wadhifa wake.
3. Mbona mtamgulizi wake Ntibenda alikubalika sana?
3. Inakuwaje Mkuu wa mkoa awe mhasibu na ana wasaidizi wake?
4. Inakuwaje rambirambi zitumike kulisha wageni ngazi ya taifa badala ofisi yake au mfuko wa maafa kutumika?
Tuache kutetea kila ujinga kwa mrengo wa chama, tuupinge ubaya bila kujali kafanya wa chama gani
Zipi hizo sheria ambazo mkuu wa mkoa anaweza kuzikata?Tunajifariji kisiasa tu lakini ukweli ni kwamba kwa madaraka aliyopewa Mkuu wa Mkoa ndani ya katiba na sheria hamuwezi kumuepuka hata kidogo.
Mtafanya mambo yote lakini mwisho wake lazima Mkuu wa Mkoa akamilishe.
Muundo wa katiba yetu unasema hakuna serikali za mitaa bila serikali kuu lakini serikali kuu inaweza kuwepo bila serikali za mitaa.
Ni sawa na wabunge kusema hawamtambui Rais wa Tanzania wakati msingi wa kazi zao ni kuisimamia serikali inayoundwa na Rais.
Madiwani hawawezi kutunga sheria ndogondogo bila kwanza kupitia kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla haijafika kwa Waziri wa TAMISEMI.
Mkuu wa mkoa ana uwezo wa kuzikataa sheria ndogondogo kama anadhani hazina maslahi kwa mkoa wake.
Hazina manufaa hata kidogo zaidi ya kuwagawa wana Arusha. Katika ziara zake ni ccm pekee huwezi kuona hata diwani wa eneo husikaMkuu,
Kumbuka wakuu wa mikoa ni wateuliwa wa kisiasa kwa hiyo kimantiki nitakushangaa kama unashangaa na kujiuliza kwa nini anafanya siasa.
Kumbuka tatizo kubwa la siasa wakati mwingine hazina sheria.
Hoja ya msingi kwangu ni aina gani ya siasa anazozifanya. Je, zina manufaa gani kwake,
Kwa wana Arusha na serikali kwa ujumla.