W wivtos Member Joined Aug 16, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Aug 24, 2014 #1 naomba kuuliza wadau hivi,katiba hii ni ya chama cha mapinduzi? au ni ya watanzania! na kwa nini hawa ndugu zetu wanaendelea na mijadala ya katiba? kulikoni ccm vs katiba? naomba michango yenu
naomba kuuliza wadau hivi,katiba hii ni ya chama cha mapinduzi? au ni ya watanzania! na kwa nini hawa ndugu zetu wanaendelea na mijadala ya katiba? kulikoni ccm vs katiba? naomba michango yenu