thread critic
Member
- Jul 17, 2012
- 71
- 14
Tuwekee na hiyo Kenya tu-comapre na hasa madaraka ya RAIS, Mahakama (CJ), Tume huru ya uchaguzi, Bunge etc
Katiba ya Kenya ni katiba iliyotokana na Wananchi kwa matakwa ya Wananchi, lakini Katiba ya kwetu imeandikwa na Warioba kutokana na matakwa ya Rais halafu nina wasiwasi itakapokuwa tayari itakuwa ni ya kukudhi matakwa ya Watawala!!
Ya kwetu iko Bomba kwa maana Madaraka ya Raisi hayajavunjwa vunjwa kama ya Wakenya, pili sisi ni wastaarabu tumeandika Katiba mpya bila tone la Damu kumwagika, hivyo bado sisi tuko juu!