Katiba mpya Pichani

Sigma

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
5,007
Reaction score
1,259
Mjadala wa katiba mpya ukiendelea
 

Attachments

  • wachangiaji wa katiba.jpg
    149.3 KB · Views: 361
unajua nchii hii tunaonekana wapumbavu sana...yaani tunaleta mambo ya utani kwenye masuala ya msingi sijui kwa nini
 
tunaleta mambo ya utani kwenye masuala ya msingi sijui kwa nini

ili tudumushe amani na utulivu.
Usisahau Tanzania ni "kisiwa cha amani"
 

Nchi ikitengeneza maskini wa kutosha, inaweza kuwatumia kufanya chochote. Na hawa ndio muda si mrefu kutoka sasa watakodiwa na wanasiasa waliofilisika kisera kuanzisha vurugu za kutumia silaha ili malengo fulani ya kisiasa yatimie. Kumbuka yaliyotokea Kenya miaka ya Moi...
 
Mungu yupo wapendwa. siku moja kitaeleweka tu

Kwa kweli Serikali ya CCM haina nia njema na raia wake hata kidogo. Hii maana yake nini? Na hii inadhihirisha kuwa hiyo katiba iliyopo ni kwa maslahi ya watu wachache na si kwa wananchi. Hapa walitaka vijana wajaze ukumbi mapema ili wenye uelewa wa kuchangia wakose nafasi. Ndo maana kule Dodoma waliwazuia wanafunzi wa vyuo vikuu wsiingie. Maana mswada wenyewe uko kwa kiingereza na hawa vijana wa mitaani wala hawajui chochote. MUNGU ni mwema, let us keep on praying, ipo siku kitaeleweka tu kwa kweli.
 
CCM wana kesi ya kujibu Uholanzi iwe leo au kesho.
 
wametupiga mabomu,kisa watoto kama hao kujaa ktk ukumbi wa msekwa!shame on them!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…