Wakuu salamu kwenu., nimekuwa nafuatilia kila mdahalo wa katiba uliopita ila kwa bahati mbaya naona nguli wa mambo ya katiba kaachwa najiuliza kwa nini waandaaji hawamualiki.? Mwenye taarifa anijuze
Wassira anampigia chapuo aweze kuongezwa kwenye lile kundi la 201 ili isiwe namba tasa kwani hii ndo ilisababisha kupata katiba tasa. Usiogope utamsikia Dodoma kabla ya BMK kumaliza shuguli zake.
Wakuu salamu kwenu., nimekuwa nafuatilia kila mdahalo wa katiba uliopita ila kwa bahati mbaya naona nguli wa mambo ya katiba kaachwa najiuliza kwa nini waandaaji hawamualiki.? Mwenye taarifa anijuze
Shame on him....! Siku zote wasaliti huishia kufia mitaloni huko, ssem wamemtumia kama kondom wamemwacha hana thamani tena. Yaani sikuamini kabisa Prof mwenye reputation kama yake hiyo hiyo kutumika na wanasiasa...! Shame on you!!!
Kwani wasira, lukuvi wanaongea kwa data? Wana takwimu gani zinazowaambia wananchi wanataka serikali mbili? Wana takwimu gani zinazosema wa Tanzania wamekataa tunu za taifa yaani uadilifu, uwazi na uwajibikaji? Wanabwabwaja tu kwa hila na ubabe bila takwimu. Labda naye atafanya hivyo!. Prof!.