Mkuu avatar yako nimeielewa
Narud kwenye swali iko hv
Kwanza kabisa kwa ngazi ta diploma clinical medicine sio nzur kama umepanga ukitoka shule tu uajiriwe ie ukimaliza diploma
Kwa sababu kubwa now dayz hasa hospital kubwa iwe either private au govnment hawaajiri hawa clinical officers
Pharmacy na medical lab ndo habar ya mjin coz unaweza ukafanya kaz sehemu level yeyote ya hospital