PC inakula mb coz pages huwa zina funguka fully while smartphones most pages huwa zinakuwa optimised kuwa mobile ambazo ni ndogo ki ukubwa.. mbali na hivyo hii hutegemea na simu unayotumia kama simu yako inauwezo mdogo haitakuwa ina kula mb nyingi contrary kwa high end smartphone za Samsung huwa na app nyingi sana ambazo hu run background so hula mb. A windows PC kama ina windows 10 bila kufanya optimisation waweze liwa mb nyingi vilevile coz imekuwa optimised kutumia Internet all the time...
Hope umeelewa there is no a specific answer to ur question