PathwayzZote
Member
- Jul 4, 2024
- 78
- 102
Inategemea levo yako mzee na aina ya fursa unayotakaOk wana jamvi twende kazi
KATI YA MAREKANI NA CHINA
Naona hapa nchi zote hizo zina moto yani 🔥🔥🔥
Haya wataalamu wa uchumi na kujitafuta na pia wale waliofika au wanaishi katika izo nchi tajwa apo juu
Mtuchane ukweli
Ni nchi gani hapo kwa wale wanaopenda au wanaopata michongo ya kwenda kujitafuta kiamokoto katika nchi hizo
Itakuwa inasapoti sana kupata opportunities
Inshort unamshauri kijana aende wapi akafate fursa za pesa au dola au faranga au hela au shilling
🤣🤣🤣Dah mkuu nomaChina wenyewe tu wameikimbia nchi yao kwa mamilioni hadi wengine wanafanya umachinga Tanzania sasa kama wana hizo fursa kwa nini sasa wazikimbie..😧😧😧
Kujitafuta yan kama kijanaInategemea levo yako mzee na aina ya fursa unayotaka
Leta yako yenye akili kiongoziMaswali ya ajabu na ya kijinga kabisa haya.
Daaah hadi mikoan wapo hawa jamaaWachina tupo nao wamejazana kkoo 😹😹
Sasa wewe uende kwao kufanya nini??🤣
NotedUSA kama unao mtaji au ukikusanya mtaji kwa kubeba box zipo fursa nyingi unaweza ingiza kipato mfano kilimo cha mbogamboga kwenye green house au kutoa mifugo hasa kondoo Toka kwa wafugaji upcountry kibongo mikoani na kuleta miji mikubwa eg California, New York nk au kumiliki biashara za uber au transportation au kumiliki kampuni za Caregiver kuhudumia watu wenye uhitaji maalumu.
Lugha sio ishu mkuuChina lugha gongana jambo unaweza tumia AI siku hizi
Wapo had njombe vijijin ukoUchinani ni wewe kwenda ukachukue bidhaa uje kupiga pesa bongo ila siyo sehemu pa wewe kwenda kutafuta fursa
Wachina wenyewe hizo fursa haziwatoshei na ndiyo maana wamezagaa duniani ka wakimbizi utapata wapi fursa kwao