Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Yule wajina bado ana akili ya balehe, hajui anachokifanyaSerious mtu umekaa kwnye Game miaka zaidi ya mitano , leo unakuja kututolea Video umevaa feki T-shirt GUCCI ya K/koo .. inayouzwa 7500/=.
Unavaa Jampa Suti ...sijui zinaitwa hivyo ..zile za kulalia,na english Gold juu.
Halafu unatuambia "Bongo bahati mbaya " wakati ww mwnyewe Bahati mbaya.
Stupid ..
Atakayenimbia nizinpende Video za nyumbani either Music Video au Bongo Movie ajiandae kwa matusi. [emoji53] [emoji53]
Bundle lako asikuoangie mtu cha kupostAisee na mimi kesho ntaanzisha thread.
Sasa kama Machinga wamezuiwa kuuza CD kutoka Nje ya nchi ww unataka kusikia nimelazimishwa vip kuangali hizii za BongoMkuu kwan umelazimishwa??
Siku hiz watu hawanunui cd wanadownload wenyeweSasa kama Machinga wamezuiwa kuuza CD kutoka Nje ya nchi ww unataka kusikia nimelazimishwa vip kuangali hizii za Bongo
Sibishanaga na watoto .Siku hiz watu hawanunui cd wanadownload wenyewe
PikipikiSibishanaga na watoto .