sawaWakati kukiwa na kelele zenye dhamira hasi kutoka kwa wapinzani wa maendeleo ya Tanzania Rais wa JMT ameendelea kusimama imara kama ilivyo kawaida yake na kuendelea kuhakikisha hatolewi kwenye muelekeo chanya alioamua kuipitisha Tanzania.
Kuanza kwa ujenzi wa daraja la Salender ni kielelezo kingine kuwa Rais Magufuli ni mtu wa matokeo View attachment 937006
Halafu ww cjui ukoje?Sasa ni lini tutatengeneza bikini kutoka Chattle tuzivae kisha tupeleke mitumba kwa Trump
Mtumba wa bikini ya kitanzania utakuwa upo kwenye hali gani! [emoji15]Sasa ni lini tutatengeneza bikini kutoka Chattle tuzivae kisha tupeleke mitumba kwa Trump
Halafu ww cjui ukoje?
Mtumba wa bikini ya kitanzania utakuwa upo kwenye hali gani! [emoji15]
Bikini zenye matobo.Si inabidi tuwe donor kantri kama wao wanaleta na sisi tuwapelekee tit for tat
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watake wasitake lazima tuwe donar country