Membe hawezi kuthubutu kuwataja, pamoja na kwamba UKWELI uko hadharani.
Mimi nashindwa kuwaelewa CCM? Sasa nimeamini sera ya CCM ni UFISADI na KULINDANA. Wanashindwaje kumkamata Chenge na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria?
Halafu tukiipenda CDM, CCM wananuna. LIWALO na LIWE ninaomba CDM 2015 wachukue nchi hii. Nimechoshwa na ufisadi wa CCM