Kuna msongamano mkubwa kutokana na watu kuitika wito wa property tax. Inaonyesha siku ya leo halitoshi kwa sababu TRA hawakujuandaa na mafuriko. Serikali iongeze siku ili waitikie wito huu kwa ukamilifu
Wala isiongezwe, na kesho ikifika ni penalt.
Kodi ya majengo ipo siku zote na inajulikana, haikuanza mwaka jana wala mwaka huu, ni uzembe wa walipa kodi kusubiri hadi siku ya mwisho.
Watu wengine walikuwa wakilipia kupitia manispaa au wilaya zao kwani hawakuunganishwa na mtandao WA TRA na kwa sasa wametakiwa kujisajili upya TRA. Nadhani TRA waweke mawakala wao ofisi za serikali za mitaa ili kurahisiha zoezi hili
Wala isiongezwe, na kesho ikifika ni penalt.
Kodi ya majengo ipo siku zote na inajulikana, haikuanza mwaka jana wala mwaka huu, ni uzembe wa walipa kodi kusubiri hadi siku ya mwisho.