Pichani ni Mzee Warioba akitolewa nje baada ya vurugu zilizojitokeza katika Mdahalo wa "Mchakato wa Katiba Mpya, Maoni ya
Wananchi na Katiba Inayopendekezwa" yaliyofanyika mapema leo hii Ubungo Plaza.
- Nini maoni yako juu ya tukio hili? Je kuna njia mbadala wa kupata Katiba hiyo kwa amani na pande zote zikafurahi? Fuatilia
Hayo yote yanasababishwa na ile kasumba ya hewala mzee na ndio mzee na sawa mzee ndo hayo na hawajui kwamba hiki ni kizazi cha dont com na hiki kimeshachoka kudanganywa na kudangayika ni ukweli tu sasa na maisha ya ukweli huwa yanauma au ni mchungu