Hebu kuwa na msimamo, umeshaachana naye acha ukigeugeu wa kufatilia alipe kodi mwenyewe kisha urudiane naye. Utapigwa za uso.HAPA NAMSUBIRI AJILIPE KODI YAKE YA NYUMBA KISHA NDO TUENDELEZE MAHUSIANO YETU.
IKISHINDIKANA KUJILIPIA NDO BASI TENA,NTAHESABU TUSHAACHANA.
Sahii kabisa mkuu,pesa Yao sijui huwa inawauma Nini kuitumia.Hapo chacha.
Yaani we wenzetu wanaweza kufa kwa njaa ilimradi tu buku mbili yao ibaki salama.
Kimbembe ukimtoa out anaweza kula msosi wa elfu 12 huku anacheka
Mfungulie kesi nesiIkabd kumpigia Nesi anipe namba ya Simu ya dokta alienipa zile dawa niongee nae, nna shida nae, dokta nmempigia anasema zile ndio dawa sahii mana Alikua anasumbuliwa na malalia mgonjwa wako.
Nikamuuliza dokta Kama hakua na Tatizo jingine, dokta akasema hapana ndo mana nmempa mseto na Panadol tu. Nikasema Asante sana dokta. Nikakata Simu.
Nb: Sikutaka dokta ajue nmejua kua nmedanganywa kua kameza sumu.
Nmerud kwa mamaJ kuumuliza kwann yeye na Nesi wamenidanganya suala la sumu kumbe anaumwa malalia, akamtupia mpira Nesi, ikabd kupga na kuweka loudspika Nesi arudie alichonambia akinitaka nifike hospital.
Nesi anapokea anamtupia mpira mamaJ kua kasema alisema vile kwa maelezo ya mamaJ kua kameza vidonge vingi ana stress sn na Mimi ndo chanzo, hayo majibu ya maabara kua ana malalia tu hayajui na hausiki.
Nikagundua kumbe wananifanyia maigizo, hayajui vp wkt yeye ndo Alikua Beneti na mgonjwa, ana adjust drip kila MDA na kuangalia anaendeleaje. Ikabd kukata Simu kwa hasira. Nesi kapiga Sana sijapokea, tukaendelea kuzozana na mamaJ khs maigizo aliyonifanyia.
†****************
bora nimecheka nimepunguza makunyanzi ya uzee!Wakuu,
Mwezi uliopita tulikua na ugomvi mkubwa sn nikadhamiria kabisa kuachana nae ile Moja kwa Moja.
Baada ya kuomba msamaha sana turudiane ikashindikana, akameza vidonge lengo kujiua nisipokubali kumsamehe.
Nikamwambia "wee jiue TU usinibabaishe,hutokua wa kwanza kujiua".
MDA mfupi napokea namba ngeni anajitambulisha ni Nesi na kunambia mamaJ kaletwa zahanati flan Yuko hoi kanywa sumu nifike haraka tumnusuru. Nikasema "sawa nakuja" nikafika hospitali haraka nikakuta kalazwa na katundikwa dripu.
Alilala pale usiku mmoja kesho yake naenda kumchukua karuhusiwa, dokta ananambia nibebe na dawa zake atamezea nyumbani. Tumefika kwake nafungua nakuta kafungashiwa mseto na panadol tu. Nikabaki na mshangao
*************
Hawa watu ni ndugu zake Ibilisi.Sahii kabisa mkuu,pesa Yao sijui huwa inawauma Nini kuitumia.
Kuna siku alilala njaa eti kiss sijamuachia Ela ya kula,wkt ana mshahara, posho na Duka
wanaume tukiamua tunaweza 😂Eti muachanekaka angu huna hiyo jeuri niamini mimi.
nakazia😂Kingine mkuu usithubutu kwenda kabla hajalipa kodi, utaenda pewa style ya “utanilipia kodi”, na mauno kibao ukitoka hapo utalipa kodi ya mwaka.